Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimehangaika mda huu ndo kapokea simu.
Anasema we umeshampata mwingine tena anadai jamaa anajisifia sijiwezi kwake siwezi kumuacha.
Nimemuambia baba watoto hao wanaokuambia maneno ni waongo.
Aaaaaaah! Kumbe wote wezi. Nakushauri wapige chini wote wawili halafu utafute wa kwako peke yako, tulizana ule maraha na yeye pekee.yeye ana mke wake.
Tumezaa tu ila ni kila kitu kwangu.
Sitaki kumpoteza
hahahaaaaaaa leo nacheka wallahi........
chezea wadada wa mujini.pesa anataka na penzi la the other man analihitaji.......hureeeee
Wewe unalilia kuendelea kuwekwa nyumba ndogo? ......
Si umesema una hela...kwa hiyo unaweza kununua mapenzi kama nguo...sasa unataka msamaha wa nini? Kauli tena kama thamani ya mwanamke ni hela au...
Nauza tindikali, nipe mawasiliano ya mumeo nadhani anaihitaji.