Mzazi mwenzangu ananitishia kwenda kunishtaki Ustawi wa Jamii

Mzazi mwenzangu ananitishia kwenda kunishtaki Ustawi wa Jamii

Hakuna sehemu nzuri wanaume tunapaswa kufurahia Kama ukiambiwa unapelekwa ustawi wa jamii.
Maana kule kila mtu anapigiwa pesa ya kuchangia kumlea huyo mtoto.
Wanawake wengi huwa wanawaza kulelewa na wao kwa pesa ya matunzo ya mtoto
 
Pole Sana mkuu,Mimi mwenyewe limewahi nitokea janga Kama hilo alinitishia eti anaenda ustawi wa jamii nilimwambia nenda tu haraka iwezekanavyo kumbe alikuwa ananipima ninamsimamo gani baada ya hapo aliacha kabisa hakwenda ustawi wa jamii
 
Mwambie aende bila shaka atajiona mpuuzi kwa mawazo yake ya kijinga
 
Hongera sana kwa kumpa hiyo 70k na bado anaikataa.
Ustawi wa jamii atapewa 50k wala usijali.
Ukitoka huko piga push up 200 alafu mtazame
 
Kwa sheria ya 1977 ya ustawi wa jamii,

Baba unatakiwa kuchangia Debe moja la mahindi pamoja na pesa taslimu elfu 15 za kitanzania.

Mwambie TU akupeleke Mkuu
 
Mkuu mwanamke uliyemzalisha bila kumuowa wanakuwaga na kisirani Tu si rahisi kukubali kirahisi kuachana naye wengi wanatuliaga baada ya mtoto kufika miaka mitatu sababu mtoto anakuja hasumbui sana lakin saivi ata uwe unatoa laki5 ataona humjalia mtoto kikubwa ni mwanaume kuwa kiburi na kutojali kelele zake atoe matumizi kulingana na kipato chake asitake kumfurahisha wangu aliniweke kiwango nikawa nashusha na kupandisha viwango vya pesa kama chati za clinik
vipi ulimuoa?
 
Hongera sana kwa kumpa hiyo 70k na bado anaikataa.
Ustawi wa jamii atapewa 50k wala usijali.
Ukitoka huko piga push up 200 alafu mtazame

Je huyo mwanamke angekua ni Mama yako au Binti yako Ungetoa ushauri huuhuu?
 
nashukuruni waungwana,mmenipa mwanga.maana wengine maswala ya kesi huwa hatuyapendi kabisa.
Mwache aende ustawi wa jamii, gharama ya kuhudumia ni sh 50000 tu, tena akipangiwa hiyo mpe hiyohiyo hakuna kuongeza ili kiburi chake kimuweke sawa. Ajute kufanya ujinga wake
 
Tena mwambie akimbie kabisa
Alafu tuletee .rejesho hapa
 
Nimeishia kucheka. Kama ulikubali kwa hiyari yako mwenyewe na uchumi umeyumba, alitakiwa arukeruke na kujifukiza. Wanaume wanaohudumia watoto kwa moyo mmoja ni wachache sana.
 
Mkuu kwani hujasoma chekechea?
Nenda wewe kabla yeye hajaenda.
 
Back
Top Bottom