Mzazi mwenzangu ananitishia kwenda kunishtaki Ustawi wa Jamii

Mzazi mwenzangu ananitishia kwenda kunishtaki Ustawi wa Jamii

Kama sheria inaruhusu,mchukue huyo mwanao umlee wewe mwenyewe,unaweza kutafuta mtu wa kukusaidia kumlea,
Huyo mzazi mwenzako anakutumia wewe kama ATM yake tu kwa vishawishi toka nje au kwa tamaa zake binafsi.
 
Mkuu natamani ningekua Mimi yaani unatuma 70k anairudiasha?wewe nenda alafu eleza situation ilivyokua tangia mwanzo alafu unawaambia sasa hivi hata hell ya kula huna na uwezo wako ni elfu ishirini tu komaa kisawasawa mbona atafurahi na roho yake
 
Back
Top Bottom