Iwepo sheria ya kuwa Mwanaume na mwanamke wote wanao wajibu wa kutunza Mtoto sababu ni wao wote isipokuwa ikiwa ni surogate procedure.
Pia mtoto anayetakiwa kutunzwa na Mwanaume ni yule ambae kabla ya kutungwa mimba Mwanaume aliombwa ridhaa ya hiyari ya kuzaa na sio kufanywa kutegeshewa na mwanamke kwa hila ili kumfanya mtoto kitega uchumi.