Mzazi mwenzie na Afande Sele (Mama Tunda) Amefariki

Tujuzane mazishi yatakuwa lini na saa ngapi....ili tushiriki..maana waislamu hawachelewi kuzika.
 
Dah inauma sn kuondokewa na mpendwa wako jamani
 
Mwenzio kafiwa, we wazungumzia papuchi na dushelele, mbona hueleweki??? Unaingiza mada ambao aiendani na mada iliopo!!!
 
Pole kwa wafiwa..R.I.P Mama Tunda
 
Bad news sana mbona jpil nilikutana nae maeneo ya mafiga moro anashuka kwa.pikipiki alikuwa fine na fully stor na.jamaa.daaa R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…