Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika slim5, kwanza hata sijui msiba uko morogoro au dar, manake taarifa za mwisho mama tunda na mumewe walikuwa wametengana
Bad news sana mbona jpil nilikutana nae maeneo ya mafiga moro anashuka kwa.pikipiki alikuwa fine na fully stor na.jamaa.daaa R.I.P
Nimekusoma kumbe Mdogo wake The Legend is Back ndio aliovuruga ndoa ya Mfalme? Ni shida.
Acha utani na kazi ya MUNGU wewePole kamanda.ccm tu hao
sasa uliyekutana nae na pikipiki nani, afande sele? Hapa wanasema aliyefariki ni mama watoto wake.
jifunze kuelewa hutauliza maswal ya kizee kama.haya.mm nilikutana na mama tunda
sasa we unajua mi nina miaka mingapi?
jifunze kuelewa hutauliza maswal ya kizee kama.haya.mm nilikutana na mama tunda