Mzazi mwenzie na Afande Sele (Mama Tunda) Amefariki

Mzazi mwenzie na Afande Sele (Mama Tunda) Amefariki

...dah kamanda sele pole sana. Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu...
 
Taarifa za mwisho walikuwa wametengana. RIP mama Tunda
 
Selemani msindi au afande sele kafiwa na Mzazi mwenzake mama tunda.,mama tunda amefariki Jana pole sana afande pole wana Moro..,
God takes his own. Pole mzee wa mtazamo
 
Pole sana kwa braza sele na mungu ampe nguvu kijana Tunda Jema...Amina
 
Back
Top Bottom