Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Mzazi aitakiwa kujishusha kiasi hicho kwa mtoto wako ni juu kila mtoto kumueleza mzazi wake makosa yake kwa busala tu asitegemee kuambiwa ni samehehe mwananguWazazi wengi huwa hawana utamaduni wa kuomba msamaha watoto wao pale wanapogundua kuwa wamewakosea.
Badala yake hutengeneza mazingira ama ya kugeuza kosa lile liwe kwa mtoto, au kutengeza mazingira ya kumfanya mtoto kuonekana anastahili adhabu hiyo sababu alizubaa kusema mapema kuwa hajakosa.
Jambo hili linafanya baadhi ya watoto kukua na vinyongo wangipunguza upendo kwa wazazi wao na mara nyingine kuhamisha tabia ile ile kwa watoto wao, na pia kuchangia kuchochea matatizo ya afya ya akili.
Mzazi nini kinakupa ugumu kuomba msamaha pale unapomkosea mtoto wako?
Mshua alifanya jambo zuri sana.... Ni kweli ukikutana na wenye mawazo ya kikoloni si rahisi kukuelewaMshua wangu alikuwa na utaratibu kuwa ninapokosea ananipa nafasi ya kujitetea na kujielezea. Jambo ambalo lilinijenga katika kujielezea na nikawa napata shida sana kublend na jamii ya yenye watu wazima wakoloni kama hii yetu ya Tanzania.
Unakuta najua kabisa sijakosea au nina hoja ya utetezi halafu mtu ananikazia anataka kwenda straight na adhabu. Nilikuwa naleta legue walimu walijua huyu mtoto sio yeye ni malezi aliyokulia yamemjenga hivi.
Hadi leo hii huwa ni ngumu sana mimi kushindwana na mtu.
Bora hivyoo jaman.Ukishindwa kumwambia samahani mwambie pole mwanangu
Ngoja nianzie chini kusoma. Sijui nimelewaMie my mdada anamwita kakaka kake kashuri anamwita aje au anamfuata chumbani anamwomba msamaha baba naomba unisamehe, nimekukosea baba angu kipenzi nakupendaje ila kama kakosea weeh mtoto ni mdogo ila anajua kumpigia bibi yake , bibi nauliwa hawazi sema njoo kadogo Badoo minne ila acha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nianzie chini kusoma. Sijui nimelewa
Hata mimi nimebaki mdomo wazi mkuu, sio kawaida kwa huyo binti kuandika yasiyoeleweka. Labda simu yake alimwachia mwanaeNgoja nianzie chini kusoma. Sijui nimelewa
Mila na desturi za kiafrika ndiyo tatizo.Wazazi wengi huwa hawana utamaduni wa kuomba msamaha watoto wao pale wanapogundua kuwa wamewakosea.
Badala yake hutengeneza mazingira ama ya kugeuza kosa lile liwe kwa mtoto, au kutengeza mazingira ya kumfanya mtoto kuonekana anastahili adhabu hiyo sababu alizubaa kusema mapema kuwa hajakosa.
Jambo hili linafanya baadhi ya watoto kukua na vinyongo wangipunguza upendo kwa wazazi wao na mara nyingine kuhamisha tabia ile ile kwa watoto wao, na pia kuchangia kuchochea matatizo ya afya ya akili.
Mzazi nini kinakupa ugumu kuomba msamaha pale unapomkosea mtoto wako?
NAdhani makuzi tuliyopitia kwa wazazi wetu kutuonyesha ubabe ndio yameyujengea mazoea kwamba mtoto haombwi msamahaWazazi wengi huwa hawana utamaduni wa kuomba msamaha watoto wao pale wanapogundua kuwa wamewakosea.
Badala yake hutengeneza mazingira ama ya kugeuza kosa lile liwe kwa mtoto, au kutengeza mazingira ya kumfanya mtoto kuonekana anastahili adhabu hiyo sababu alizubaa kusema mapema kuwa hajakosa.
Jambo hili linafanya baadhi ya watoto kukua na vinyongo wangipunguza upendo kwa wazazi wao na mara nyingine kuhamisha tabia ile ile kwa watoto wao, na pia kuchangia kuchochea matatizo ya afya ya akili.
Mzazi nini kinakupa ugumu kuomba msamaha pale unapomkosea mtoto wako?
[emoji23][emoji23]Mzanzi wa kiafrika[emoji23]
Yupo tayari kufa
Kupigwa risasi
Achinjwe
Aende jela
Ila sio kusema sorry to his/her own blood[emoji23]