Watoto hawaishi na wazazi mda mwingi kuliko watakavyoishi na wenza wao kwenye ndoa. Ataishi na mzazi kwa mda mfupi labda miaka 22 ataondoka, wakati kwenye ndoa ataishi si chini ya miaka 50 ya uhai wake.[emoji1752][emoji818]Unakuta mzazi anamlea vibaya mtoto kisha mtoto wake anaenda leta maumivu kwenye maisha ya mwenzake.
Mtoto yeyeto sio wa kwako mzazi huyo ni mke au mume wa mtu mtarajiwa, unapomlea vibaya unaharibu ndoa yake. Hata kama wewe ni single mama huo usingle ni wa kwako sio wake mlee ipasavyo akatunze ndoa yake, usimlishe sumu.
Watoto hawaishi na wazazi mda mwingi kuliko watakavyoishi na wenza wao kwenye ndoa. Ataishi na mzazi kwa mda mfupi labda miaka 22 ataondoka, wakati kwenye ndoa ataishi si chini ya miaka 50 ya uhai wake.
Ndoa ni copy ya jinsi wazazi wao walivyoishi kwenye ndoa.
Mtu mzima apangiwi wewe sio yeyeMimi kma mzazi siwezi vumilimia mwanangu anaswe na huu utapeli mnaita ndoa.
Either yamekupata au kuna mtu yamempata na ukashuhudia...Unakuta mzazi anamlea vibaya mtoto kisha mtoto wake anaenda leta maumivu kwenye maisha ya mwenzake.
Mtoto yeyote siyo wa kwako mzazi, huyo ni mke au mume wa mtu mtarajiwa, unapomlea vibaya unaharibu ndoa yake. Hata kama wewe ni single mama huo usingle ni wa kwako siyo wake, mlee ipasavyo akatunze ndoa yake, usimlishe sumu.
Watoto hawaishi na wazazi muda mwingi kuliko watakavyoishi na wenza wao kwenye ndoa. Ataishi na mzazi kwa muda mfupi labda miaka 22 ataondoka, wakati kwenye ndoa ataishi si chini ya miaka 50 ya uhai wake.
Ndoa ni copy ya jinsi wazazi wao walivyoishi kwenye ndoa.
Wazazi wa sasa ndio wanao ongoza ndoa za watoto zao.Wazazi Hili nalo mkalitazame