Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Yuko wapi mtoto wangu? Wiki mbili baada ya kutokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Tanzania, mama huyu bado anamtafuta mtoto wake anayedai kuwa alikamatwa na vikosi vya usalama. Vijana wengi waliuawa na wengine kukamatwa wakati wa machafuko hayo. Mamia wamefikishwa mahakamani wakishitakiwa kwa uhaini na makosa mengine ya uhalifu