PostGE2025 Mzazi: Yuko wapi mtoto wangu? Nimezunguka vituo vya polisi hadi hospital lakini sijampata, nimeamua nije mahakamani

PostGE2025 Mzazi: Yuko wapi mtoto wangu? Nimezunguka vituo vya polisi hadi hospital lakini sijampata, nimeamua nije mahakamani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unadhani utaishi milele kwa sababu uliiba godoro la kulalia kwenye maandamano Mkuu
Unafikiri risasi zilikuwa zinachambua huyu ni chawa wa kutiki ama kiherehere wetu?
 
Yaani kuna watu hawana huruma,utu wala ubinadam.
Ndugu zangu mnaotetea mauji sidhani kama ni wanadamu kama sisi hawa jamani..
Hata hao wanaojifanya waislam,hakuna muislam anatetea kilichofanyika,MUISLAM KABISA WENGI NI MACHAWA PRO MAX WANUFAIKA.MI NAJISKIA VIBAYA MNOO,KUNASIBISHA UFEDHULI WAO NA DINI YANGU MBWA HAWAAAA....
Mungu atusaidie kwakweli
Kitu cha ajabu na kusikitisha BAKWATA wamepongeza ushindi wa samia na kulaani vurugu zilizojitokeza.
 
Pole sana ndugu yangu, hawa wanaojitokeza kutetea USHENZI na UNYAMA wa huyu MBWA na genge lake kwa kudai kwamba anakosolewa ama kupingwa kwa sababu ya DINI yake,wanafanya hivyo MAKUSUDI kabisaa kwa lengo la kuleta mgawanyiko wa kidini kwenye hili Taifa


Hiyo ndio karata wanayoitumia sasa hivi kujaribu kujinasua kutoka kwenye udhalimu wao waliowafanyiaa WaTanzania


Ni vyema watu wakalibaini hilo na kuepuka kuingia kwenye huo mtego wao wa kipumbavu
Wataingia wao sio mimi na tunaojitambua
Uislam umetaja haki kwanza ,haki ndo huleta amani
Uislam mi dini ya haki,Amani bila haki ni ngumu
Kwenye haki kuna amani
 
Yaani kuna watu hawana huruma,utu wala ubinadam.
Ndugu zangu mnaotetea mauji sidhani kama ni wanadamu kama sisi hawa jamani..
Hata hao wanaojifanya waislam,hakuna muislam anatetea kilichofanyika,MUISLAM KABISA WENGI NI MACHAWA PRO MAX WANUFAIKA.MI NAJISKIA VIBAYA MNOO,KUNASIBISHA UFEDHULI WAO NA DINI YANGU MBWA HAWAAAA....
hata nyie jaribu kuangalia upande wa uharibifu uliofanyika, yaani ingekua ni maandamano tu hakuna uharibifu apo ingekula kwetu ila kuanza kuharibi mali apo lazima mstari uchorwe, tunajua kuna wengine hawakua kwenye hilo kundi lakini ndo madhara ya jumla sasa
 
Yuko wapi mtoto wangu? Wiki mbili baada ya kutokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Tanzania, mama huyu bado anamtafuta mtoto wake anayedai kuwa alikamatwa na vikosi vya usalama. Vijana wengi waliuawa na wengine kukamatwa wakati wa machafuko hayo. Mamia wamefikishwa mahakamani wakishitakiwa kwa uhaini na makosa mengine ya uhalifu

Lucas Mwashambwa
 
Back
Top Bottom