NA ENDAPO UKISHINDWA KUTAJA HAPO NDIPO UNATAKIWA UKUBALIANE NA MZEE AKILIMALI KUWA YANGA NI ZAID YA MANJI NA.SIKU ZOTE MFANYABIASHARA NI MTU MJANJA SANA ANAKUWA KIMASLAHI ZAID
Sasa manji alikuja tukiwa hatujamfungansimba kwa miaka 8 anaondoka simba hajatufunga kwa miaka miwili, hiyo ni improvement3: HAUJAFUNGWA NA SIMBA KWA MIAKA MIWILI [emoji23] unamaanisha unajisifia kuifunga Simba mara 2 mfululizo NILIJUA UTAVUNJA REKODI YA MNYAMA YA KUKUFUNGA MIAKA 8 MFULULIZO [emoji23] [emoji23]
KWA HILO NDIO UTAMKUMBUKA MANJI KWA HILO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MKUU ICEMAN tyar ushachemka umesharudi kwenye asili ya wabongo unampa swali badala ya kujibu naye anauliza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] INAONEKANA NIMEKUBANA basi ngoja nikupe tenda je waweza nikodishia Yanga niilete hapa kijijini kwetu icheza japo mechi mojaLabda nijibu swali kwa swali
Nitajie kiongozi wa Yanga kabla ya Manji ambaye amefanya kitu wewe unacho hisi unakikumbuka mpaka leo.
Ukifanikiwa kumtaja ntarudi, ukishindwa kumtaja maana yake hakuna kiongoz wa yanga alowagi fanya chochote
Sasa wewe ndio sku elewi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MKUU ICEMAN tyar ushachemka umesharudi kwenye asili ya wabongo unampa swali badala ya kujibu naye anauliza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] INAONEKANA NIMEKUBANA basi ngoja nikupe tenda je waweza nikodishia Yanga niilete hapa kijijini kwetu icheza japo mechi moja
Kuna kitu kinaitwa aina za kujibuushachemka umesharudi kwenye asili ya wabongo unampa swali badala ya kujibu naye anauliza
SWALI LA MSINGI TANGU MANJI AJE YANGA KATI YA MNYAMA NA VYURA NANI ANAONGOZA KWA KUMFUNGA MWENZIESasa manji alikuja tukiwa hatujamfungansimba kwa miaka 8 anaondoka simba hajatufunga kwa miaka miwili, hiyo ni improvement
Aliingia rasmi kipindi simba wametupiga 5 nambie kama simba wamewahi kutuchezea tena kias hiko!!
Ni achievement, ulitaka ni iite nini!!?
Ndio.maana nakwambia huwezi sema et manji haja fanya kitu, vas huwa hufuatilii mpira
Hapana mkuu mimi siko kubishana ila hujajibu hoja zangu badala yake unaniuliza tena maswaliSasa wewe ndio sku elewi
Umesema hajafanya kitu yet umeshindwa kuonesha nani aliwahi fanya kitu.
Ndio maana nikasema usibishie kwa kuwa una kipaji cha ubishi tuu.
Ukianza arguement ujue utaimaliza vipi.
Ndio maana nika kwambia pale ulikosea huwezi sema manji hajafanya kitu! Haiwezekani.
Kama hamtaki klabu ikodishwe ni sawa, leteni altenaltive , wekeni mtu ambaye mnaona atakuwa bora zaid ya manji
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nimuamini naniKuna kitu kinaitwa aina za kujibu
Unaweza kujibu swali kwa maelezo
Unaweza kujibu swali kwa swali
Unaweza kujibu kwa vitendo, ishara au alama.
Unaweza kujibu swali kwa mchanganyiko wa maelezo na swali.
Kama ulikuwa hujui nakupa elim hapo
Yanga tunaongoza kuwafunga simba,mbona simple tuu, red card ni sehemu ya mchezo mjukuu.SWALI LA MSINGI TANGU MANJI AJE YANGA KATI YA MNYAMA NA VYURA NANI ANAONGOZA KWA KUMFUNGA MWENZIE
[emoji1] [emoji1] naona umekazania hyo miaka miwili wakat kwenye hyo miaka yote miwili mmetufunga mara 2 tena mara nyingine ni hadi tupewe red[emoji1] [emoji1]
Kuuliza swali ni aina ya jibu!!Hapana mkuu mimi siko kubishana ila hujajibu hoja zangu badala yake unaniuliza tena maswali
Kama ali include jibu kwa swali[emoji1] [emoji1] [emoji1] nimuamini nani
WEWE AU MRISHO MPOTO aliyesema kuna aina mbili za swali[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Manji amefanikisha timu kuwa mabingwa wa ligi kuu mara 3 ndani ya miaka mi 4, tumeshinda kombe la FA.
Tumefika robo fainali ya kombe la CAF afrika
Hatujafungwa na Simba kwa miaka miwili sasa.
At least na kipindi cha uongozi wake klabu imetulia hamna fujo fujo.
Manji anaweza kuwa ana matatizo yake ila huwezi sema hajafanya kitu, kafanya ila hajafanya kwa asilimia 100, na haja fanya kile ambacho wewe ulitaka afanye.
Hivi mkuu unataka uniambie wakati anaingia madarakani aliahidi mambo gani?? Je àmeyatekeleza?? Kma jibu ni YES bas apewe timuKama ali include jibu kwa swali
Ndio nnacho lenga.
Kwa hiyo weza hata kumuamini yeye.
Mtu ukimuuliza swali aka kuuliza tena pia ni jibu hilo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thubutuuu muwezee wapi nyie kipindi tangu manji achukue Yanga tumewageuza tutakavyoYanga tunaongoza kuwafunga simba,mbona simple tuu, red card ni sehemu ya mchezo mjukuu.
Ambaye anasema Manji hajafanya kitu, ana shida ya kufikiri au penginepo kuona, au penginepo kusikia, na siajabu kuongea.
Manji kuna mambo mengi kayafanya, ila kama wana yanga hatutaki kumkodisha tusimkodishe, tutoe altenative klabu iendelee, ila siyo eti kusema kanunua mech. Toeni solution , akitoka Manji aje nani na kifanyike nini
Mzee Mangala Tabu Mangala,Labda nijibu swali kwa swali
Nitajie kiongozi wa Yanga kabla ya Manji ambaye amefanya kitu wewe unacho hisi unakikumbuka mpaka leo.
Ukifanikiwa kumtaja ntarudi, ukishindwa kumtaja maana yake hakuna kiongoz wa yanga alowagi fanya chochote