Mzee Akilimali: Yanga haiwezi kukodishwa kama masufuria

Mzee Akilimali: Yanga haiwezi kukodishwa kama masufuria

NA ENDAPO UKISHINDWA KUTAJA HAPO NDIPO UNATAKIWA UKUBALIANE NA MZEE AKILIMALI KUWA YANGA NI ZAID YA MANJI NA.SIKU ZOTE MFANYABIASHARA NI MTU MJANJA SANA ANAKUWA KIMASLAHI ZAID

Labda nijibu swali kwa swali
Nitajie kiongozi wa Yanga kabla ya Manji ambaye amefanya kitu wewe unacho hisi unakikumbuka mpaka leo.

Ukifanikiwa kumtaja ntarudi, ukishindwa kumtaja maana yake hakuna kiongoz wa yanga alowagi fanya chochote
 
  • Thanks
Reactions: PNC
3: HAUJAFUNGWA NA SIMBA KWA MIAKA MIWILI [emoji23] unamaanisha unajisifia kuifunga Simba mara 2 mfululizo NILIJUA UTAVUNJA REKODI YA MNYAMA YA KUKUFUNGA MIAKA 8 MFULULIZO [emoji23] [emoji23]
KWA HILO NDIO UTAMKUMBUKA MANJI KWA HILO
Sasa manji alikuja tukiwa hatujamfungansimba kwa miaka 8 anaondoka simba hajatufunga kwa miaka miwili, hiyo ni improvement
Aliingia rasmi kipindi simba wametupiga 5 nambie kama simba wamewahi kutuchezea tena kias hiko!!
Ni achievement, ulitaka ni iite nini!!?
Ndio.maana nakwambia huwezi sema et manji haja fanya kitu, vas huwa hufuatilii mpira
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Labda nijibu swali kwa swali
Nitajie kiongozi wa Yanga kabla ya Manji ambaye amefanya kitu wewe unacho hisi unakikumbuka mpaka leo.

Ukifanikiwa kumtaja ntarudi, ukishindwa kumtaja maana yake hakuna kiongoz wa yanga alowagi fanya chochote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MKUU ICEMAN tyar ushachemka umesharudi kwenye asili ya wabongo unampa swali badala ya kujibu naye anauliza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] INAONEKANA NIMEKUBANA basi ngoja nikupe tenda je waweza nikodishia Yanga niilete hapa kijijini kwetu icheza japo mechi moja
 
Hii njaa ya hivi vizee vinavyoamini kuwa Yanga ni mradi wao was kuwaweka mjini ni shida sana.
Nyuma yao kuna watu wanachochea yote haya na vizee vyenye njaa vinatumiwa tu.
Kwa nini hao watu wasiwe na ujasiri wa kuja na hoja mbadala mkutanoni?
Waje mkutanoni wamwage hoja zao kuwashawishi wana Yanga
Huyo mzee Akilimali Kwa nini asiseme yote hayo mkutanoni?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MKUU ICEMAN tyar ushachemka umesharudi kwenye asili ya wabongo unampa swali badala ya kujibu naye anauliza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] INAONEKANA NIMEKUBANA basi ngoja nikupe tenda je waweza nikodishia Yanga niilete hapa kijijini kwetu icheza japo mechi moja
Sasa wewe ndio sku elewi
Umesema hajafanya kitu yet umeshindwa kuonesha nani aliwahi fanya kitu.
Ndio maana nikasema usibishie kwa kuwa una kipaji cha ubishi tuu.
Ukianza arguement ujue utaimaliza vipi.
Ndio maana nika kwambia pale ulikosea huwezi sema manji hajafanya kitu! Haiwezekani.

Kama hamtaki klabu ikodishwe ni sawa, leteni altenaltive , wekeni mtu ambaye mnaona atakuwa bora zaid ya manji
 
  • Thanks
Reactions: PNC
ushachemka umesharudi kwenye asili ya wabongo unampa swali badala ya kujibu naye anauliza
Kuna kitu kinaitwa aina za kujibu

Unaweza kujibu swali kwa maelezo
Unaweza kujibu swali kwa swali
Unaweza kujibu kwa vitendo, ishara au alama.
Unaweza kujibu swali kwa mchanganyiko wa maelezo na swali.

Kama ulikuwa hujui nakupa elim hapo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Sasa manji alikuja tukiwa hatujamfungansimba kwa miaka 8 anaondoka simba hajatufunga kwa miaka miwili, hiyo ni improvement
Aliingia rasmi kipindi simba wametupiga 5 nambie kama simba wamewahi kutuchezea tena kias hiko!!
Ni achievement, ulitaka ni iite nini!!?
Ndio.maana nakwambia huwezi sema et manji haja fanya kitu, vas huwa hufuatilii mpira
SWALI LA MSINGI TANGU MANJI AJE YANGA KATI YA MNYAMA NA VYURA NANI ANAONGOZA KWA KUMFUNGA MWENZIE
[emoji1] [emoji1] naona umekazania hyo miaka miwili wakat kwenye hyo miaka yote miwili mmetufunga mara 2 tena mara nyingine ni hadi tupewe red[emoji1] [emoji1]
 
Sasa wewe ndio sku elewi
Umesema hajafanya kitu yet umeshindwa kuonesha nani aliwahi fanya kitu.
Ndio maana nikasema usibishie kwa kuwa una kipaji cha ubishi tuu.
Ukianza arguement ujue utaimaliza vipi.
Ndio maana nika kwambia pale ulikosea huwezi sema manji hajafanya kitu! Haiwezekani.

Kama hamtaki klabu ikodishwe ni sawa, leteni altenaltive , wekeni mtu ambaye mnaona atakuwa bora zaid ya manji
Hapana mkuu mimi siko kubishana ila hujajibu hoja zangu badala yake unaniuliza tena maswali
 
Kuna kitu kinaitwa aina za kujibu

Unaweza kujibu swali kwa maelezo
Unaweza kujibu swali kwa swali
Unaweza kujibu kwa vitendo, ishara au alama.
Unaweza kujibu swali kwa mchanganyiko wa maelezo na swali.

Kama ulikuwa hujui nakupa elim hapo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nimuamini nani

WEWE AU MRISHO MPOTO aliyesema kuna aina mbili za swali[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
SWALI LA MSINGI TANGU MANJI AJE YANGA KATI YA MNYAMA NA VYURA NANI ANAONGOZA KWA KUMFUNGA MWENZIE
[emoji1] [emoji1] naona umekazania hyo miaka miwili wakat kwenye hyo miaka yote miwili mmetufunga mara 2 tena mara nyingine ni hadi tupewe red[emoji1] [emoji1]
Yanga tunaongoza kuwafunga simba,mbona simple tuu, red card ni sehemu ya mchezo mjukuu.
 
Hapana mkuu mimi siko kubishana ila hujajibu hoja zangu badala yake unaniuliza tena maswali
Kuuliza swali ni aina ya jibu!!
Sasa kama wewe mawazo yako unatungua hewani je!!?
Unapo sema kitu cha kukumbukwa kisoka unamaanisha nini, na nani pale yanga aliwahi kukifanya
Mbona logic imetulia kabsa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nimuamini nani

WEWE AU MRISHO MPOTO aliyesema kuna aina mbili za swali[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama ali include jibu kwa swali
Ndio nnacho lenga.
Kwa hiyo unaweza hata kumuamini yeye.
Mtu ukimuuliza swali aka kuuliza tena pia ni jibu hilo.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Manji amefanikisha timu kuwa mabingwa wa ligi kuu mara 3 ndani ya miaka mi 4, tumeshinda kombe la FA.
Tumefika robo fainali ya kombe la CAF afrika
Hatujafungwa na Simba kwa miaka miwili sasa.
At least na kipindi cha uongozi wake klabu imetulia hamna fujo fujo.
Manji anaweza kuwa ana matatizo yake ila huwezi sema hajafanya kitu, kafanya ila hajafanya kwa asilimia 100, na haja fanya kile ambacho wewe ulitaka afanye.

Umesahau na hili mkuu manji kaendesha klabu kwa hasara ya sh.bil11.6
 
Igeni namna ya kuongoza timu zenu toka kwa klabu bora Afrika mashariki na kati bila kusahau bara la Afrika AZAM FC
 
Kama ali include jibu kwa swali
Ndio nnacho lenga.
Kwa hiyo weza hata kumuamini yeye.
Mtu ukimuuliza swali aka kuuliza tena pia ni jibu hilo.
Hivi mkuu unataka uniambie wakati anaingia madarakani aliahidi mambo gani?? Je àmeyatekeleza?? Kma jibu ni YES bas apewe timu
 
Yanga tunaongoza kuwafunga simba,mbona simple tuu, red card ni sehemu ya mchezo mjukuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] thubutuuu muwezee wapi nyie kipindi tangu manji achukue Yanga tumewageuza tutakavyo

ILA UKIZUNGUMZIA TOKA ZIANZE KUKUTANA HAPO KUNA UKAKASI ILA KWA KUANZIA ENZI ZA MANJI TUMEWAGALAGAZA SANA
 
Ambaye anasema Manji hajafanya kitu, ana shida ya kufikiri au penginepo kuona, au penginepo kusikia, na siajabu kuongea.
Manji kuna mambo mengi kayafanya, ila kama wana yanga hatutaki kumkodisha tusimkodishe, tutoe altenative klabu iendelee, ila siyo eti kusema kanunua mech. Toeni solution , akitoka Manji aje nani na kifanyike nini

Manji kafanya nini?, hilo deni wanalodaiwa Yanga limetoka wapi? Na Yanga imekopa kwa nani? Yeye pekeyake ndio analijua hilo deni?
 
M
Labda nijibu swali kwa swali
Nitajie kiongozi wa Yanga kabla ya Manji ambaye amefanya kitu wewe unacho hisi unakikumbuka mpaka leo.

Ukifanikiwa kumtaja ntarudi, ukishindwa kumtaja maana yake hakuna kiongoz wa yanga alowagi fanya chochote
Mzee Mangala Tabu Mangala,
 
Back
Top Bottom