Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kumbe Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na sasa ni marehemu. Ilibidi nitafute taarifa za wajumbe wa kamati kuu ambao wamefariki kabla ya kikao cha kamati kuu kilichojadili ishu ya pesa za Abduli na ambao wapo hai mpaka hivi sasa. NI MZEE ALI KIBAO PEKE YAKE NDIYE KAFA!! katika time frame hii. Baada ya Kauli ya makamu mwenyekiti kusema kuwa ushahidi wa Pesa za brother Duli kuwahonga viongozi wa CHADEMA ulithibitishwa ndani ya kikao cha kamati kuu na mjumbe mmoja ambaye sasa ni marehemu, Imebidi tuchunguze ni mjumbe gani wa kamati kuu ambaye kafa na kifo chake kinaangukia ktk time frame ya sakata la pesa za brother Duli.
AISEE NIMEOGOPA AISEE!. HII NCHI INA UMAFIA WA AJABU MNO!.
Bora Makamu kalisanua mapema, hii ishu kumbe ingeumiza wengi kama si kuondoka na wengi!
Hapa Chini ni tweet ya Boni Yai akithibitisha kuwa Mzee Kibao alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA!