Lissu amedai aliambiwa na mjumbe wa Kamati kuu hakusema kuwa ilithibitishwa ndani ya kikao cha jamati kuu.iBaada ya Kauli ya makamu mwenyekiti kusema kuwa ushahidi wa Pesa za brother Duli kuwahonga viongozi wa CHADEMA ulithibitishwa ndani ya kikao cha kamati kuu na mjumbe mmoja ambaye sasa ni marehemu,
View attachment 3184684
Acha kugeuza maneno kwa manufaa yako.
Hajuna kikao cha kamati juu kilichothibitishiwa hayo unayodai.