Wenje & Abdul walikwenda nyumbani kwa Lissu mwaka.
Ally Kibao kauwawa mwaka huu September 2024.
Lissu tangu mwaka 2023 alikuwa na taarifa zote za Abdul & Wenje.
Lissu kaanza kachukua form ya kugombea Makamu Mwenyekiti 2024.
Lissu kabadilika kaamua kuchukua form ya kugombea Mwenyekiti.Ina maana alikubali kuongozwa na Mbowe ghafla kaamua kuipigania nafasi ya kumwondoa Mbowe.
Chadema waliandaa maandamano kupinga mauaji ya Kibao.Nadhani Lissu na Mbowe ndio waliojitokeza wengine waliingia mitini.Mnyika alikimbilia Church.
Wakati haya yote yanafanyika Lissu alikuwa pamoja na viongozi wenzake,ghafla nafasi ya Mwenyekiti inamtoa imani anarusha jiwe giza wenzake wenzake wabebe zigo la lawama.