Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA

Umeongea ukweli mkuu
 
Mzee wa watu mpole na Hana kosa lolote lakini Samia kaamua kuwatuma wasiojulikana wamuue.Hatari sana Huyu mama
 
Bila hata kumumunya maneno ni yeye alimpasha Lissu habari nyeti. Huenda habari nyeti zimeondoa uhai wake.
 
Kwahiyo mnataka kusema Sativa pia alikuwa anajua kuhusu fedha za Abdul?
 
Wenje & Abdul walikwenda nyumbani kwa Lissu mwaka.

Ally Kibao kauwawa mwaka huu September 2024.

Lissu tangu mwaka 2023 alikuwa na taarifa zote za Abdul & Wenje.

Lissu kaanza kachukua form ya kugombea Makamu Mwenyekiti 2024.

Lissu kabadilika kaamua kuchukua form ya kugombea Mwenyekiti.Ina maana alikubali kuongozwa na Mbowe ghafla kaamua kuipigania nafasi ya kumwondoa Mbowe.

Chadema waliandaa maandamano kupinga mauaji ya Kibao.Nadhani Lissu na Mbowe ndio waliojitokeza wengine waliingia mitini.Mnyika alikimbilia Church.

Wakati haya yote yanafanyika Lissu alikuwa pamoja na viongozi wenzake,ghafla nafasi ya Mwenyekiti inamtoa imani anarusha jiwe giza wenzake wenzake wabebe zigo la lawama.
 

Kikao cha kamati kuu kujadili kauli za Lissu ni lini?
 
Ustaadh Yasin: Kisomo Cha Tanga kitawaumbua Watu wengi na mtashangaa sana
 
Nawaambieni Mbowe ni mafia, Lissu kaamua liwalo na liwe. Yeye ni mmoja wa watu wasiojulikana. Halafu kusingizia polisi na CCM! Bora Lissu kaweka wazi.
 
Lissu akili nyingi Sana. Yawezekana akawa anapoteza watu maboya.
 
Hii issue ya mzee Kibao, nilipata shida sana kujua Kwanini wamemuua Huyu mzee?

Lakini baada ya mahojiano ya Lissu, dots zinaanza kuungukani.

Most likely, mzee Kibao alijua siri za akina Abdul na akaongea kwenye kamati kuu. Akina Wenje wakawaambia watu wao kwenye mfumo. Wakaamua kumshughulikia huyo mzee. Duh! Enemy within!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…