Uzuri wa Lissu ni msema kweli. Yaani watanzania mmechezewa sana na upinzani biashara wa akina Mbowe.
Safari hii ni ama upinzani wa kweli uzaliwe upya chini ya Lissu au watanzania waachane na SACCOS ya familia ya Mbowe na genge lake la watu wa system.