Mzee Alipipi Lumuli Kasyupa - Kauli Ya Nchimbi Kuhusu Tupiganie Katiba Mpya Ni Kauli ya Mungu

Mzee Alipipi Lumuli Kasyupa - Kauli Ya Nchimbi Kuhusu Tupiganie Katiba Mpya Ni Kauli ya Mungu

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
04 August 2026
Kyela, Mbeya
Tanzania

KATIBAKITAA - Mbunge Mstaafu wa G-55 Anafunguka Juu ya Katiba Mpya na Maridhiano
Mbunge mstaafu wa Jimbo la Kyela Mzee Alipipi Lumuli Kasyupa akifanya mahojiano maalum kwenye kipindi cha Katiba Kitaa



Emmanuel Nchimbi ametusaidia sana kwa kukiri tupiganie katiba...
  • Wanaozunguka nchi nzima na kauli ya Kwani Katiba itatuletea ugali mezani, hao ni wajinga kabisa na hilo siyo tusi...
  • Wanaokataa katiba mpya ni wabinafsi ni wanufaika...
  • Ni wakati wa kuelimisha watanganyika...
  • Nchimbi hajafanya kiini macho ana nia safi...
  • Nchimbi ataleta mapinduzi ndani ya CCM kwa kuzungumza ukweli mtupu kwa kutema uongo wanaonufaika nao CCM ...
  • Wabunge 55 hatukutekwa, hatukimbia nchi wala kufanyiwa ukatili kama wa watawala wa sasa...
  • Mwl. Nyerere pamoja ya kuwa hakukubali ya wabunge 55 kila siku alituita Msasani kunywa chai tukimshawishi naye kujaribu kutushawishi...
  • maoni mzee Kasyupa kuhusu Bunge, kutekwa uchaguzi za 2019, 2020, 2024, 2025, Mauaji, Majeshi, CHADEMA, No Reforms No Election etc...
  • Bandari, rasilimali zote za Tanganyika zimekeanguliwa bila huruma, ila Zanzibar wamezilinda kwa wivu mkubwa....
  • Ni kero kubwa...
  • Tumedharauli, waganga wa kienyeji kuitwa kuunda katiba mpya, hatuko serious....
  • Humphrey Polepole... amesema ukweli , tusisahau
  • Katiba mpya lazima, bila kumwaga damu, iliyomwagika 29 Oktoba 2025 inatoka...
  • Vijana muamke Nyerere akiwa na miaka 32 alijitosa mzima mzima kupigania Tanganyika....
  • Vijana lazima muwe Radical na Revolutionary kupigania Tanganyika...
  • Tundu Antipas Lissu ameshikwa illegally , Tundu must be FREE ! Anakazia mzee Kasupya....
  • Tundu Lissu ni mchungaji hata wamfanye vipi atapita njama hizi ovu .....
  • Msikubali kwenda kunywa chai Ikulu, mmesha danganywa sana, geresha hii msiikubali...
  • Dunia inawaangali watawala wa Tanzania ..
  • Tundu Lissu atakuja kuongoza nchi
  • MAMBO ni mengi, madini mazito kutoka kwa Mzee Alipipi Lumuli Kasyupa akiwakilisha wazee walioona mengi tangu enzi za Nyerere Etc
 
Mzee Kasyupa :Emmanuel Nchimbi ametusaidia sana wsTanganyika:



TOKA MAKTABA:
24 Julai 2026


1785961649066.png

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema ikiwa angepewa nafasi ya kutoa ujumbe mmoja wa mwisho kwa Watanzania, angewasihi kuendelea kupigania upatikanaji wa Katiba Mpya yenye maridhiano mapana na uwezo wa kuiongoza nchi kwa miongo kadhaa ijayo.
Source : BBC
 
  • Emmanuel John Nchimbi ametusaidia sana kwa kukiri tupiganie katiba...
  • Wanaozunguka nchi nzima na kauli ya Kwani Katiba itatuletea ugali mezani, hao ni wajinga kabisa na hilo siyo tusi...
  • Wanaokataa katiba mpya ni wabinafsi ni wanufaika...
  • Ni wakati wa kuelimisha watanganyika...
  • Nchimbi hajafanya kiini macho ana nia safi...

Toka maktaba
30 Julai 2026

Vyama vya mfukoni na vya waganga wa kienyeji wakutana na mwenyekiti wa CCM


View: https://m.youtube.com/watch?v=5vSIAfqUPqY
 
Back
Top Bottom