Naunga mkono hoja]Emmanuel John Nchimbi ametusaidia sana kwa kukiri tupiganie katiba...
- Emmanuel John Nchimbi ametusaidia sana kwa kukiri tupiganie katiba...
- Wanaozunguka nchi nzima na kauli ya Kwani Katiba itatuletea ugali mezani, hao ni wajinga kabisa na hilo siyo tusi...
- Wanaokataa katiba mpya ni wabinafsi ni wanufaika...
- Ni wakati wa kuelimisha watanganyika...
- Nchimbi hajafanya kiini macho ana nia safi...
Kama yule mbilikimo wa Chalinze anayetengenezewa mazingira na dingi wake aje naye aitawale Tanzania.Wale wote wanaodai Katiba mpya haileti chakula mezani ni wabinafsi na wanaonufaika na mfumo.
Amini nakuambia he will not get anywhere, not overthis lifetime. Times have changed na kizazi kimebadilikaKama yule mbilikimo wa Chalinze anayetengenezewa mazingira na dingi wake aje naye aitawale Tanzania.