Mzee amtwanga ngumi ya uso abiria (Mwanamke) ambaye hawajuani pasipo sababu

Mzee amtwanga ngumi ya uso abiria (Mwanamke) ambaye hawajuani pasipo sababu

Mzee ana bifu na wanawake wa kiruguru kama mimi nilivyo na wale wanawake wa kiisilamu wanaovaa nikabu (ninja) haisee wale wanawake wengi wao ni watu wa hovyoo na akili kichwani hakuna ni heri uwe na ukaribu na mwanamke anaevaa kimini....ipo siku nikiwa vizuri nitawapa kituko walichonifanyia..
Endelea kuwachukia dogo,,siku ukitoka hapo kwa shemeji yako utapata akili
 
hawana akili wale....wengi wao wanavaa vile kuwaridhisha waume zao...na wakiachika huwa wanazivua hizo ninja..
Upimwe akili Kwanza hujawahi hata kuwa na mke,,kwhy tabia za wanawake huzijui...hujui ht majukumu yako,,
 
Imeripotiwa asubuhi hii 07 June 2022 huko Kigamboni!
Mzee mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika! Leo asubuhi akiwa kama abiria kwenye bajaji maeneo ya kisiwani, alitokea abiria mwingine njiani, ambaye ni mwanamke akiwa kavaa vizuri tu mama wa watu, yule mzee akiwa abiria ndani alimkaribisha abiria huyo (mdada wa makamo) wakawa abiria watatu kwenye bajaji hiyo!

Yule mzee alipomaliza kusalimiana na yule abiria mpya, kwa maelezo ya dereva wa bajaji! Mzee akamuuliza yule abiria (mwanamke) wewe mama kabila gani!

Yule abiria mwanamke akajibu "mimi mruguru baba".

Aisee hapo hapo mzee alikuwa amekaa katikati yao wale abiria wawili wote wanawake!

Akamtifua ngumi ya USO yule mama akaanza kuvuja damu nyingi hadi kukimbizwa hospitali ya kisiwani kigamboni!

Cha kushangaza zaidi na yule mzee aliongozana kwenda kumpeleka hospital!

Taarifa zaidi nitawajuza (picha siyo hekima kumpiga picha mtu)

Ummy mwalimu yuko sahihi kwamba watu wapimwe akili akiwemo huyu mzee,
(Hawajuani lakini kampiga bila sababu )
si ukute alishawahi kutendwa na mwanamke wa kiruguru hadi haji kusahau.
 
Mzee ana bifu na wanawake wa kiruguru kama mimi nilivyo na wale wanawake wa kiisilamu wanaovaa nikabu (ninja) haisee wale wanawake wengi wao ni watu wa hovyoo na akili kichwani hakuna ni heri uwe na ukaribu na mwanamke anaevaa kimini....ipo siku nikiwa vizuri nitawapa kituko walichonifanyia..
Mzee ana Bifu kubwa na wanawake wa kiruguru aise hatari ndio maana mm sijitambulishagi kama muruguru
 
Back
Top Bottom