Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mzee mmoja kutoka Bukoba ambaye kwa sasa yupo hapa Dar es salaam anadai kwamba Mshambuliaji wa Simba SC Tanzania Meddie Kagere ni mwanae na anaomba uongozi wa @simbasctanzania umkutanishe na mwanae".
Ameenda mbali zaidi na kudai yupo tayari kwenda kupima naye DNA na atakuwa tayari kwa majibu yoyote, anadai hata huko mtaani jina lake la asili watu washaacha kumuita kwa sasa wanamuita Kagere.
"Mimi sina shida na Mali zake, wala umaarufu wowote kutoka kwake, shida yangu aje nijue kama kagere ni Mwanangu au sio Mwanangu".