Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
- Thread starter
- #21
Media zitapiga kambi kwakeHii nchi unaweza kabisa kuwa superstar bila ya kufanya kazi yoyote yenye tija kwenye jamii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Media zitapiga kambi kwakeHii nchi unaweza kabisa kuwa superstar bila ya kufanya kazi yoyote yenye tija kwenye jamii.
Mama yake ndiye mwenye majibuHilo suala la kujua kama yeye ni baba mzazi wa kagere au la ni miongoni mwa mambo machache ambayo yapo nje ya uwezo wa kagere mwenyewe.
Hajasema kitu
Akili za wapi hizi 🏃♂️Huyu mzee katumwa na GSM kuihujumu Simba
Akili za wapi hizi 🏃♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asante mkuu. You made my dayDuuuuh huu mwaka tutaona mengi. Hadi midingi ilokuwa ime hybanet inajitokeza hadharani
Mzee anasema mwaka 1984 alimpa ujauzito binti wa Kiganda aliyekuja kutembelea Kanyigo, Bukoba Vijijini mkoa wa Kagera. Lakini hawakuendelea na mawasiliano baada kwenda kikazi Dodoma. Anaweza kuwa baba yake kweli maana Kagere amezaliwa Entebbe sehemu ambayo ni karibu na Kanyigo, Kagera.Kagere Asili yake ni Uganda sema Ana uraia wa Rwanda unaweza kukuta uyo mzee kwakua anatokea Kagera aliwahi kuingia Uganda na kupata Bibi akazaanae au Bibi kutoka Uganda aliwahi kwenda Kagera akapewa mimba na kurudi kwao Uganda na kumzaa Medi yote yanawezekana.
Kagere ana miaka 26?Mzee anasema mwaka 1984 alimpa ujauzito binti wa Kiganda aliyekuja kutembelea Kanyigo, Bukoba Vijijini mkoa wa Kagera. Lakini hawakuendelea na mawasiliano baada kwenda kikazi Dodoma. Anaweza kuwa baba yake kweli maana Kagere amezaliwa Entebbe sehemu ambayo ni karibu na Kanyigo, Kagera.
Duuuuh huu mwaka tutaona mengi. Hadi midingi ilokuwa ime hybanet inajitokeza hadharani
Ndivyo alivyosema?Kagere ana miaka 26?
Tumechelewa Sana Ndugu ZanguDuuuuh huu mwaka tutaona mengi. Hadi midingi ilokuwa ime hybanet inajitokeza hadharani
Kwani Kagere hamjui baba yake mzazi?Hilo suala la kujua kama yeye ni baba mzazi wa kagere au la ni miongoni mwa mambo machache ambayo yapo nje ya uwezo wa kagere mwenyewe.
Kwan 1984 ad leo au jana ni miaka 26 ,36 ?Kagere ana miaka 26?
Kwan 1984 ad leo au jana ni miaka 26 au,36 ?