Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ni kweli basi mama hawezi thibitisha kama huyu ndo baba coz alimtelekeza kaangaika naye mwenyewe, sasa hivi kafanikiwa ndo anajifanya kumtafutaMzee anasema mwaka 1984 alimpa ujauzito binti wa Kiganda aliyekuja kutembelea Kanyigo, Bukoba Vijijini mkoa wa Kagera. Lakini hawakuendelea na mawasiliano baada kwenda kikazi Dodoma. Anaweza kuwa baba yake kweli maana Kagere amezaliwa Entebbe sehemu ambayo ni karibu na Kanyigo, Kagera.
Hivi yule mzee ni baba yake mondi?Kwa ni kweli basi mama hawezi thibitisha kama huyu ndo baba coz alimtelekeza kaangaika naye mwenyewe, sasa hivi kafanikiwa ndo anajifanya kumtafuta
Wewe ndio umesema kwa kumnukuu mzee mwaka 84 aivyokutana na binti wa kigandaNdivyo alivyosema?
Ok 36Kwan 1984 ad leo au jana ni miaka 26 ,36 ?
:Kwani mwenye timu OKW BOBAN SUNZU anasemaje kuhusu hili dude?
Alikuwepo, sema tu alikosa mawasiliano ya mzazi mwenzake kwa muda mrefu. Ila alishtuka alipomwona Meddie kwa mfanano ule na uhalisia wa eneo anakotokea Meddie.Siku zote alikua wapi?
Thanks kwa maelezo Mkuu.Alikuwepo, sema tu alikosa mawasiliano ya mzazi mwenzake kwa muda mrefu. Ila alishtuka alipomwona Meddie kwa mfanano ule na uhalisia wa eneo anakotokea Meddie.
Kwanini hakumtafuta Kagere immediately baada ya kusaini Simba akitokea Gor Mahia 'Kogero kwa akina Obama'? Ni kwasababu alikuwa bado anasita ila sasa amejitokeza baada ya watu (ndugu,marafiki na jamii) kumsihi afanye jitihada ya kukutana na MK47 ili ajue mbivu na mbichi.
Huyo Baba Kagere wa Uganda inawezekana ni baba mlezi tu kama alivyokuwa Yusufu kwa Yesu. Na inawezekana alibambikiwa mtoto asiye wake biologically, si kila siku tunasikia baadhi ya wanaume wenzetu wanagundua (kupitia vipimo vya DNA) kuwa watoto waliowalea na kuwagharamia kwa miaka lukuki si watoto wao kiuhalisia?:
👉 Mzee wake Kagere ni Mganda kwa mujibu wa taarifa hizo.
:
👉 Kagere alisomea nasari na elimu ya sekondari shule ya Kibuli ambapo alitunukiwa tuzo ya mchezaji bora akiwa shuleni
:
👉 Baba yake hakuwahi kufurahishwa na maamuzi ya mwanae kuacha chuo ili acheze mpira.
:
👉 Wakati anapewa tuzo ya mchezaji bora shuleni, baba yake alikataa kabisa zawadi hiyo
:
Huyu wa Bukoba ni msanii kama kina Dr.Shika tu