Mzee anayedai Medie Kagere ni mtoto wake ajitokeza Dar es Salaam, aomba kukutanishwa naye

Mzee anasema mwaka 1984 alimpa ujauzito binti wa Kiganda aliyekuja kutembelea Kanyigo, Bukoba Vijijini mkoa wa Kagera. Lakini hawakuendelea na mawasiliano baada kwenda kikazi Dodoma. Anaweza kuwa baba yake kweli maana Kagere amezaliwa Entebbe sehemu ambayo ni karibu na Kanyigo, Kagera.
Kwa ni kweli basi mama hawezi thibitisha kama huyu ndo baba coz alimtelekeza kaangaika naye mwenyewe, sasa hivi kafanikiwa ndo anajifanya kumtafuta
 
Pengine itakuwa ni kweli...Au nasema uongo ndugu zangu.?
 
Kwa ni kweli basi mama hawezi thibitisha kama huyu ndo baba coz alimtelekeza kaangaika naye mwenyewe, sasa hivi kafanikiwa ndo anajifanya kumtafuta
Hivi yule mzee ni baba yake mondi?
 
Kwa mfanano huo, hata Kama siyo baba yake, Basi watakuwa na undugu. Either ndogo wake au mjomba wake nk nk.all in all wangepima DNA ku justisfy madai ya huyo mzee. Everything is possible.
 
Waangalie na background za Koo zao pia. Unaweza kuta origin yao ni moja.
 
Kwani mwenye timu OKW BOBAN SUNZU anasemaje kuhusu hili dude?
:
👉 Mzee wake Kagere ni Mganda kwa mujibu wa taarifa hizo.
:
👉 Kagere alisomea nasari na elimu ya sekondari shule ya Kibuli ambapo alitunukiwa tuzo ya mchezaji bora akiwa shuleni
:
👉 Baba yake hakuwahi kufurahishwa na maamuzi ya mwanae kuacha chuo ili acheze mpira.
:
👉 Wakati anapewa tuzo ya mchezaji bora shuleni, baba yake alikataa kabisa zawadi hiyo
:
Huyu wa Bukoba ni msanii kama kina Dr.Shika tu
 
Siku zote alikua wapi?
Alikuwepo, sema tu alikosa mawasiliano ya mzazi mwenzake kwa muda mrefu. Ila alishtuka alipomwona Meddie kwa mfanano ule na uhalisia wa eneo anakotokea Meddie.

Kwanini hakumtafuta Kagere immediately baada ya kusaini Simba akitokea Gor Mahia 'Kogero kwa akina Obama'? Ni kwasababu alikuwa bado anasita ila sasa amejitokeza baada ya watu (ndugu,marafiki na jamii) kumsihi afanye jitihada ya kukutana na MK47 ili ajue mbivu na mbichi.
 
Thanks kwa maelezo Mkuu.
 
:
👉 Mzee wake Kagere ni Mganda kwa mujibu wa taarifa hizo.
:
👉 Kagere alisomea nasari na elimu ya sekondari shule ya Kibuli ambapo alitunukiwa tuzo ya mchezaji bora akiwa shuleni
:
👉 Baba yake hakuwahi kufurahishwa na maamuzi ya mwanae kuacha chuo ili acheze mpira.
:
👉 Wakati anapewa tuzo ya mchezaji bora shuleni, baba yake alikataa kabisa zawadi hiyo
:
Huyu wa Bukoba ni msanii kama kina Dr.Shika tu
Huyo Baba Kagere wa Uganda inawezekana ni baba mlezi tu kama alivyokuwa Yusufu kwa Yesu. Na inawezekana alibambikiwa mtoto asiye wake biologically, si kila siku tunasikia baadhi ya wanaume wenzetu wanagundua (kupitia vipimo vya DNA) kuwa watoto waliowalea na kuwagharamia kwa miaka lukuki si watoto wao kiuhalisia?
 
Duh Ila wakacheki kumaliza mabishano
 
Back
Top Bottom