Mzee anayedai Medie Kagere ni mtoto wake ajitokeza Dar es Salaam, aomba kukutanishwa naye

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Mzee mmoja kutoka Bukoba ambaye kwa sasa yupo hapa Dar es salaam anadai kwamba Mshambuliaji wa Simba SC Tanzania Meddie Kagere ni mwanae na anaomba uongozi wa @simbasctanzania umkutanishe na mwanae".

Ameenda mbali zaidi na kudai yupo tayari kwenda kupima naye DNA na atakuwa tayari kwa majibu yoyote, anadai hata huko mtaani jina lake la asili watu washaacha kumuita kwa sasa wanamuita Kagere.

"Mimi sina shida na Mali zake, wala umaarufu wowote kutoka kwake, shida yangu aje nijue kama kagere ni Mwanangu au sio Mwanangu".

 
Ngoja tusubiri mama Kagere atoe neno
 
Asilete hadithi ya ngamia kuomba hifadhi kwa kuingiza "kichwa" tu hemani! Yote juu ya Meddie kukubali au la!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…