Mzee anayedai Medie Kagere ni mtoto wake ajitokeza Dar es Salaam, aomba kukutanishwa naye

Duuuh wamefanana aisee.. sura za kazi😀
 
Kagere Asili yake ni Uganda sema Ana uraia wa Rwanda unaweza kukuta uyo mzee kwakua anatokea Kagera aliwahi kuingia Uganda na kupata Bibi akazaanae au Bibi kutoka Uganda aliwahi kwenda Kagera akapewa mimba na kurudi kwao Uganda na kumzaa Medi yote yanawezekana.
 
Mzee anasema mwaka 1984 alimpa ujauzito binti wa Kiganda aliyekuja kutembelea Kanyigo, Bukoba Vijijini mkoa wa Kagera. Lakini hawakuendelea na mawasiliano baada kwenda kikazi Dodoma. Anaweza kuwa baba yake kweli maana Kagere amezaliwa Entebbe sehemu ambayo ni karibu na Kanyigo, Kagera.
 
Kagere ana miaka 26?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…