TANZIA Mzee ASAS (CEO wa ASAS Group of Companies) Alhaj Faraj Ahmed Abri, afariki dunia

TANZIA Mzee ASAS (CEO wa ASAS Group of Companies) Alhaj Faraj Ahmed Abri, afariki dunia

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
3E4AD645-7323-477E-8D1B-4B0ED8D66BA6.jpeg


DEATH ANNOUNCEMENT

‎إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون

"Surely we belong to Allah and to Him shall we return".

It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th August 2021

MARHUM will be BURIED at
KISUTU AFTER SALAT JUMAA

REQUESTING NO VISITORS AT RESIDENCE
 
Huyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
 
Huyu hakuwa amechanjwa? kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? why?
Naungana nawe kusubiri majibu!

Pole kwa familia.
 
Kipindi hiki wale wenye ukwasi inabidi wajipange vyema maana wenye tamaa ya urithi wanaweza kutumia opportunity ya uviko kuwarudisha mavumbini ili warithi ukwasi wao

Kifo ni usingizi wa kitambo kifupi kabla ya kufufuliwa swali utafufuka ufufuo wa 1 au wa pili Mungu atusaidie tuwe ule wa 1. Pole kwa familia
 
Back
Top Bottom