TANZIA Mzee ASAS (CEO wa ASAS Group of Companies) Alhaj Faraj Ahmed Abri, afariki dunia

TANZIA Mzee ASAS (CEO wa ASAS Group of Companies) Alhaj Faraj Ahmed Abri, afariki dunia

Lakini wachimbaji ni watu wa kawaida sana yaani

Na pia mkumbushe pumzi ikisha kutoka, huu mwili unakosa thamani. Hizi mbwembwe tunafanya ni kwa ajili yetu wala sio marehem. Hivyo haijalishi utachomwa, utafukiwa, wataweka zege au kurudishia kifusi, ukweli ni kwamba haifaidii kitu.

When it's all been said and done, there is only one thing that matters, your relationship with the Creator, only that, the rest will mean nothing.
 
Dah!

Madon wanazidi kudondoka, hatari sana!
 
Ndio maana kelele nyingi zinalenga chanjo kwa wazee ni mkakati wa kuwapa vijana mirathi

Kwa Africa inalenga wazee sababu ndio wenye hekima na akili wanaoongoza bara hili

Wanajua vibabu na vibibi vikiondoka rahisi kupitisha maamuzi na kulaghai vijana wapenda uzungu na waamini wazungi kuwa wanna akili

Kampuni nyingi kubwa hata private sekta injini Ni wazee ,Ukienda kwenye siasa Ni wazee ndio vichwa kuanzia serikalini , bungeni na mahakamani.

Wazee wetu wanaliwa timing
Na uko sahihi vijana waweza tumia fursa ya Corona kuwafanyizia wazee wao kitu mbaya kwa kisingizio Cha kaondoka kwa matatizo ya upumuaji

Corona Ni pepo na shetani
ndio utafiti wako huo uliofanya?
 
Wazungu wana akili kuliko nyie kima mliochangamka!
 
ndio utafiti wako huo uliofanya?
Kipindi Cha Magufuli wazee wengi wakubwa wenye nazo na madarakani walikuwa hawafi Kama Sasa wakati tukijifukiza na kula malimao na tangawizi zetu na maombi
 
View attachment 1890326

DEATH ANNOUNCEMENT

‎إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون

"Surely we belong to Allah and to Him shall we return".

It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th August 2021

MARHUM will be BURIED at
KISUTU AFTER SALAT JUMAA

REQUESTING NO VISITORS AT RESIDENCE

Within 24 hrs, the country has lost at least 3 prominent investors:

1. Owner of Gold Crest Hotels
2. Owner of Travertine Hotel
3. Owner of Asas Group

Needless to mention that 48-72 hrs ago, we have lost Somaiya.

Kwa kweli kukosekana kwa mkakati wa kupambana na COVID-19 chini ya uongozi (no, u prefect) wa Magufuli ndiyo umepelekea janga lote hili la sasa. Mungu atusaidie kwa kweli.

Why Dorothy is even still a minister until now is beyond me. She should now be rotting behind bars for manslaughter charges, let alone remaining in office.
 
Kipindi Cha Magufuli wazee wengi wakubwa wenye nazo na madarakani walikuwa hawafi Kama Sasa wakati tukijifukiza na kula malimao na tangawizi zetu na maombi
we kipindi cha magufuli ulikua ni msukule? au haukuwepo nchi hii, hv kuna kipindi wamepukutika kama cha Magufuli?
 
Huyu ni Mzee, yawezekana siku yake ya kuondoka katika maisha haya imetimia kiasili.
Siyo lazima iwe covid.
 
Naogopa kusema hawa matajiri wote asilimia 90 walipatiwa chanjo,inakuaje wanakufa hv ,ina maana chanjo haifanyi kazi yake ipasavyo??
 
Within 24 hrs, the country has lost at least 3 prominent investors:

1. Owner of Gold Crest Hotels
2. Owner of Travertine Hotel
3. Owner of Asas Group

Needless to mention that 48-72 hrs ago, we have lost Somaiya.

Kwa kweli kukosekana kwa mkakati wa kupambana na COVID-19 chini ya uongozi (no, u prefect) wa Magufuli ndiyo umepelekea janga lote hili la sasa. Mungu atusaidie kwa kweli.

Why Dorothy is even still a minister until now is beyond me. She should now be rotting behind bars for manslaughter charges, let alone remaining in office.
Kipindi Cha Magufuli hawakufa sababu ya maombi Mungu alisikia kipindi hiki hakuna Cha Mungu

Mungu kawa chanjo ya Corona!!!!

Huwezi sikia Raisi Samia anasema tuombe Mungu Ni tuombe msaada wa Chanjo zaidi kwa wazungu.Ndio yamegeuka maombi ya taifa
 
Huyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
Wamesema amededi kwa Covid19 au umeamua kutufanyia unabii wa utabiri?
 
Huyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
Mkuu naomba niwafungue akili watu kupitia hii comment yako.

Kabla ya covid 19 watu walikuwa wanakufa. Maana yake ni kuwa sio kila anaekufa sasa basi ni kwasababu ya uviko.

Uviko 19 upo na unaua kweli na sio kwamba unaua watu maarufu tu. Wanafariki watu wengi na sababu ya sisi kutokufahamu uhalisia wa mambo ni serikali kugoma kutoa takwimu za hali ya maambukizi na vifo nchini.

Hao watu maarufu ambao unaona kama ndio pekee wanaofariki sio picha halisi ya kinachoendelea. Hao ni asilimia ndogo sana ya watu wanaofariki (hawafiki hata asilimia moja. Less than 1%). Utofauti ni kuwa wao kutomana na umaarufu ndio wanapata coverage kwenye media na ndio kupelekea watu wengi kufahamu.

Covid ipo na inaua wakuu. Lakini sio wote wanaokufa basi ni covid.
 
Naogopa kusema hawa matajiri wote asilimia 90 walipatiwa chanjo,inakuaje wanakufa hv ,ina maana chanjo haifanyi kazi yake ipasavyo??
Amededi kwa Corona? Sikujua wewe ndio ulikuwa daktari wake
 
Kipindi Cha Magufuli hawakufa sababu ya maombi Mungu alisikia kipindi hiki hakuna Cha Mungu

Mungu kasa chanjo ya Corona!!!!

Huwezi sikia Raisi Samia anasema tuombe Mungu Ni tuombe msaada wa Chanjo zaidi kwa wazungu.Ndio yamegeuka maombi ya taifa
Mbona yeye Magufuli korona ilimuua?
 
Huyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
Pumziko La Amani Apate.

Sidhani kama wamesema kisababishi cha kifo chake ni covid.

Tusisahau Covid amekuja kuungana tu na visababishi tulivyokuwa navyo tangu awali....hivyo tusijisahaulishe.
 
Mbona yeye Magufuli korona ilimuua?
Weka ushahidi wa death certificate ikionyesha coause of death

Angekuwa alikuwa kwa Corona serikali yote mazishi yake wasingekanyaga na wangekuwa kila mmoja kavaa barakoa na social distance kuanzia kuaga Hadi kuzika

Mbona walikuwa hawajavaa hata barakoa Wala social distance? Na walikuwa hawajachanja
 
Back
Top Bottom