TANZIA Mzee ASAS (CEO wa ASAS Group of Companies) Alhaj Faraj Ahmed Abri, afariki dunia

TANZIA Mzee ASAS (CEO wa ASAS Group of Companies) Alhaj Faraj Ahmed Abri, afariki dunia

Tafuta pesa ukazikwe kisutu tofauti na hapo costa zitakuhusu, utalala unatembezwa usiku kucha
Yaani unatafuta Pesa ili uzikwe sehemu ya vigogo na sio kutafuta pesa ili ufurahie wakati unaishi ? , Nadhani as a Specie kuna sehemu tumekosea...

Why am I fighting to live, if I'm just living to fight?
Why am I trying to see, when there ain't nothing in sight?
Why am I trying to give, when no one gives me a try?
Why am I dying to live, if I'm just living to die?…

RIP Mzee, Now Your Watch has Ended..., We Shall Never See the like of You Again.....
 
Ndugu yangu umenitenga na kupotea. Ila kanuni yetu ya kuchapa kazi na kuepuka viashiria vyovyote vya kukutoa kwenye reli kutekeleza majukum yetu ya kuchakarika usiitelekeze, izingatie muda wote.

Uko salama mkuu...tusitupane kaka, hasabwakati huu uliojaa mashaka na hofu. Kujuliana hali muhimu. Kumbuka wewe ni millionaire mtarajiwa ( jitunze).

Kikubwa tujiandae muda wote kwa hii safari mkuu.

Uwe na siku njema
Mkuu sijakutenga nakuonaga sana kwenye comment zako. Huu ugonjwa wa Corona ni wa ajabu. Hata hapa Denmark hasa Copenhagen ndo unazidi. Sijui winter ikifika itakuwaje. Kila siku watu kumi hadi ishirini wanakufa na huu ugonjwa. Na idadi ya maambukizi inazidi. Jana zaidi ya 1000 waliopimwa wanayo.

Safari yangu ya kuwa millionaire ipo pale pale. Yani natamani sana. Sasa UVIKO nayo inapunguza kasi.

Mungu asaidie.
 
Kipindi Cha Magufuli hawakufa sababu ya maombi Mungu alisikia kipindi hiki hakuna Cha Mungu

Mungu kasa chanjo ya Corona!!!!

Huwezi sikia Raisi Samia anasema tuombe Mungu Ni tuombe msaada wa Chanjo zaidi kwa wazungu.Ndio yamegeuka maombi ya taifa
Sidhani kama Mungu anafanya kazi kwa matamko
 
Mkuu sijakutenga nakuonaga sana kwenye comment zako. Huu ugonjwa wa Corona ni wa ajabu. Hata hapa Denmark hasa Copenhagen ndo unazidi. Sijui winter ikifika itakuwaje. Kila siku watu kumi hadi ishirini wanakufa na huu ugonjwa. Na idadi ya maambukizi inazidi. Jana zaidi ya 1000 waliopimwa wanayo.

Safari yangu ya kuwa millionaire ipo pale pale. Yani natamani sana. Sasa UVIKO nayo inapunguza kasi.

Mungu asaidie.

Uwe na moyo mkuu! Usipoteze tumaini kamwe. Wala usiruhusu hofu ikaleta tashwishwi.

Barikiwa sana ndugu yangu.
 
Tujadili hili swala kwa umakini
IMG-20210807-WA0003.jpg
 
Mkuu sijakutenga nakuonaga sana kwenye comment zako. Huu ugonjwa wa Corona ni wa ajabu. Hata hapa Denmark hasa Copenhagen ndo unazidi. Sijui winter ikifika itakuwaje. Kila siku watu kumi hadi ishirini wanakufa na huu ugonjwa. Na idadi ya maambukizi inazidi. Jana zaidi ya 1000 waliopimwa wanayo.

Safari yangu ya kuwa millionaire ipo pale pale. Yani natamani sana. Sasa UVIKO nayo inapunguza kasi.

Mungu asaidie.
Uza bangi utajirike. Myebusi wahed
 
Weka ushahidi wa death certificate ikionyesha coause of death

Angekuwa alikuwa kwa Corona serikali yote mazishi yake wasingekanyaga na wangekuwa kila mmoja kavaa barakoa na social distance kuanzia kuaga Hadi kuzika

Mbona walikuwa hawajavaa hata barakoa Wala social distance? Na walikuwa hawajachanja
Alikufa Kijazi kwa korona ulimuona Magufuli kavaa barakoa? Na jinsi korona ilivyokosa adabu ikamwondoa na yeye!
 
View attachment 1890326

DEATH ANNOUNCEMENT

‎إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون

"Surely we belong to Allah and to Him shall we return".

It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th August 2021

MARHUM will be BURIED at
KISUTU AFTER SALAT JUMAA

REQUESTING NO VISITORS AT RESIDENCE

kati ya WAtu waliofadhili magenge ya "chama kijani" kuwapiga wapinzani, only few will mourn, i know.
 
RIP. ... duh! Mbona ma-tycoon wote wanaisha aisee! Uchumi na ajira vitaathirika vibaya sana. Within 24 hrs wameondoka watatu - CEO-Shivacom; CEO-Golden Crest Hotels Arusha/Mwanza; CEO-ASAS Group of Companies! Hatari sana hii kitu. Aione; YEHODAYA; Pslmp.
 
Huyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
Siyo matajiri wote wamechanja. Kuna wengine wana mawazo ya Gwajima..... Kwa Sasa chanjo dunia nzima ni bure, siyo Tanzania peke yake. Hivyo kabla ya chanjo kuruhusiwa Tanzania, ukipata ilikuwa ni lazima utoke nje ya nchi kwenda kwenye nchi walizokuwa wanachanja.
 
Kipindi hiki wale wenye ukwasi inabidi wajipange vyema maana wenye tamaa ya urithi wanaweza kutumia opportunity ya uviko kuwarudisha mavumbini ili warithi ukwasi wao

Kifo ni usingizi wa kitambo kifupi kabla ya kufufuliwa swali utafufuka ufufuo wa 1 au wa pili Mungu atusaidie tuwe ule wa 1. Pole kwa familia
Ufufuo wa Kwanza ndo upi na huo wa pili ukoje??.Leta verse za Bible kabisa.
 
Kipindi Cha Magufuli wazee wengi wakubwa wenye nazo na madarakani walikuwa hawafi Kama Sasa wakati tukijifukiza na kula malimao na tangawizi zetu na maombi
Acha uongo mkuu wazee wametembea balaa ndio kipindi wazee wengi wametembea mpaka. Yeye mwenyewe magu katembea umepoteza kumbukumbu wewe
 
Back
Top Bottom