Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana sichanjwi ng'o!!Huyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
Na yote hii imetokana na kipindi cha magufuli kutokuchukua hatua madhubutiKipindi Cha Magufuli wazee wengi wakubwa wenye nazo na madarakani walikuwa hawafi Kama Sasa wakati tukijifukiza na kula malimao na tangawizi zetu na maombi
... wameteketea wangapi wasio na chanjo?Unadhani hao walikuwa hawana chanjo?
Sijui huyu jamaa alikuwa wapi watu walipukutika balaaa mpaka rais mstaafu ikamchukua ikapita na yemwenyewe magu sijui anaongea nn huyu jamaa kweli watanzania ni wepesi wa kusahau na ni vilaza wakubwawe kipindi cha magufuli ulikua ni msukule? au haukuwepo nchi hii, hv kuna kipindi wamepukutika kama cha Magufuli?
View attachment 1890326
DEATH ANNOUNCEMENT
إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return".
It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th August 2021
MARHUM will be BURIED at
KISUTU AFTER SALAT JUMAA
REQUESTING NO VISITORS AT RESIDENCE
Mkuu Usiogope.Imeandikwa "Bwana alitoa Bwana ametwaa,jina lake libarikiwe". Hivyo atawainua wengine km hao au zaidi ya hao.Kifo ni safari yetu sote, tuombe MUNGU atujalie kufa ktk hali njema tukiwa na mahusiano naye mema.
Nimecheka sana ilijipihia mpaka ikuluKipindi kile korona ilikuwa inajipigia sana.Ilikosa heshima mpaka kufika Ikulu
Hivi ukizikwa kisutu hauozi au ni niniTafuta pesa ukazikwe kisutu tofauti na hapo costa zitakuhusu, utalala unatembezwa usiku kucha
Muulize Gwajima "Kampeni ya kitaifa".Sina takwimu kwamba miongoni mwa wanaokufa wapo waliochanjwa. Tusaidie tafadhali.
kwavile sie hatuyaengei na matofali,ndio maana hayajaiHayajai
Ogopa chanjo. Waliochanjwa ndiyo wanakufa zaidi. Ila dunia kwa sababu ya ajenda zake inageuza hizi habari. In short herd immunity with vaccine is impossible kwa sababu virus ana mutate ndani ya muda mfupi. Ukishachoma mRNA based vaccine mwili wako unakuwa umeufanya kuwa na uwezo mdogo sana wa kinga. Be informed ndugu. Rejea Eden, ishi maisha ya kula vyakula bora na mazoeziHuyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
Malofa kibao wanazikwa kisutu,hata hivyo sehemu yenyewe kwa sasa haina maana kwani kutokana na watu wengi kuzikwa hapo baada ya muda fulani usishangae kutoliona kaburi la mpendwa wako watu wanazikwa juu ya makaburi ya zamani.Tafuta pesa ukazikwe kisutu tofauti na hapo costa zitakuhusu, utalala unatembezwa usiku kucha
Waqt ule alitambulishwa kama bingwa wa karate marekaniDuh R.I.P☹️👇❓View attachment 1890329
NakaziaNaungana nawe kusubiri majibu!
Pole kwa familia.
View attachment 1890326
DEATH ANNOUNCEMENT
إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return".
It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th August 2021
MARHUM will be BURIED at
KISUTU AFTER SALAT JUMAA
REQUESTING NO VISITORS AT RESIDENCE