Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Elimu ya kutosha ni ipinna ya kiwango gani ili uwe msemajiMvuuvi fulani tu huyu aliyenusurika kuwa teja akapata vyeo kwa ndondokela bila elimu ya kutosha
Ndiyo na nyinyi Watanganyika msirudie makosa kuwapa nchi yenu. Mtazidi kuumia, kiajira, kiuchumi, kiardhi na kwa kweli sijui kama Tanganyika itainuka tena kwa namna ilivyoporwa na wazanzibar na waarabu.Safari hii tumeijua rangi ya wazenji huenda waliusubiri sana huu wakati
HatumjuhiMZEE BARAKA SHAMTE AUNGURUMA KUHUSU KANUNI NA KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI
Mzee Baraka Shante ni Mtoto wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Zanzibar kabla ya Mapinduzi na Kada Mbobezi wa CCM na miongoni mwa waanzilishi wa Afro Shirazi Party Youth League Wing.
Sera ya CCM ni mbili kuelekea moja. Wazanzibari watapigwa na butwaa lengo hili litakapotimia.Safari hii tumeijua rangi ya wazenji huenda waliusubiri sana huu wakati