TANZIA Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo, likiwemo Soko la Kariakoo afariki dunia

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
RIP Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo likiwemo soko la Kariakoo, DSM. Masasi imekupoteza lakini vijana wako hatutakuangusha ili ndoto ya Masasi itimie. Mzee Amuli ulipigania elimu ya vijana wa Masasi kwa vitendo kwa kuwa mmoja wa Waanzilishi wa Masasi Education Fund (MEF) ukishirikiana na wazee na wasomi wenzio akina Mzee Benjamin Mkapa na Dr. David Mwambe. Tunaahidi kuyaendeleza mawazo na fikra zenu sahihi ili kuiendeleza nchi yetu kwa ujumla.

Mungu akukirimie Pepo Yake, Ameeen.
picture131.jpg
 
Huu wasifu wa marehemu kuna mahali..............????
Anyway RIP mzee.
 
RIP Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo likiwemo soko la Kariakoo, DSM. Masasi imekupoteza lakini vijana wako hatutakuangusha ili ndoto ya Masasi itimie. Mzee Amuli ulipigania elimu ya vijana wa Masasi kwa vitendo kwa kuwa mmoja wa Waanzilishi wa Masasi Education Fund (MEF) ukishirikiana na wazee na wasomi wenzio akina Mzee Benjamin Mkapa na Dr. David Mwambe. Tunaahidi kuyaendeleza mawazo na fikra zenu sahihi ili kuiendeleza nchi yetu kwa ujumla.

Mungu akukirimie Pepo Yake, Ameeen.
R.I.P SEE HIS EXPERTISE
 
Attachments

Daa r.i.p katuachia kumbukumbu ya lile soko kama lile paa la soko sii mchezo[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Mzee Amuli, majengo kama Kariakoo, Jengo jipya la ushirika ni mojawapo ya kazi zilizopitia mikono yake
 
RIP Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo likiwemo soko la Kariakoo, DSM. Masasi imekupoteza lakini vijana wako hatutakuangusha ili ndoto ya Masasi itimie. Mzee Amuli ulipigania elimu ya vijana wa Masasi kwa vitendo kwa kuwa mmoja wa Waanzilishi wa Masasi Education Fund (MEF) ukishirikiana na wazee na wasomi wenzio akina Mzee Benjamin Mkapa na Dr. David Mwambe. Tunaahidi kuyaendeleza mawazo na fikra zenu sahihi ili kuiendeleza nchi yetu kwa ujumla.

Mungu akukirimie Pepo Yake, Ameeen.

Asante kwa taarifa, nilifaya kazi nae tukiwa ZEVET Architects; wliodesign majengo mengi ya hoteli za kitalii na ofisi za NDC, ubalozi wa Ufaransa etc. Nikahama nae tukaanza ofisi yake nikiwa Architectural Assistant wake. Alikuwa mtu mwema na mkarimu sana kwa kila aliyeishi na kufanya kazi nae. Ametuachia pengo lisilozibika. Mwenyezi Mungu ampokee na kupumnzisha mahali pema peponi. AAMEN!
 
Back
Top Bottom