Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Ndiyo maana amesema kuwa mengine ni magumu kuyaongea, kwamba sisi ni binadamu tunakosea.
 
1. Mzee wa kuita wananchi malofa.
2. Engineer wa mauaji ya Mwembechai na Pemba
3. Mastermind wa EPA
4. Mmiliki wa ANBEN
Hapa palinikera sana huyu mzee kumsamehe sijui, hata hila LA zenji kufa watu lukuki nalo halisameheki
 
Huyu mzee mwizi tu Kama wezi wengine

NBC
EPA
Deep Green
Meremeta
Alex sterwat
BOT twin tower
Kiwira
Bulyankhulu

Akibisha niambie nilete ushaidi
 
Hawa wazee ndo wanaogopa ccm isitoke madarakani, ili walindwe wanamvibisha bichwa jiwe
 
Huyu mzee mwizi tu Kama wezi wengine

NBC
EPA
Deep Green
Meremeta
Alex sterwat
BOT twin tower
Kiwira
Bulyankhulu

Akibisha niambie nilete ushaidi
Anatia sana hasira, labda watu walimshauri hatubu kupitia kitabu chake, tatizo wanakiuza bei ghali tungemchambua vilivyo
 
Mkapa looks desperate!!

Na vile anawaza tu kufa muda wowote, anajuta madhambi aliyoyafanya!

Alikuwa na nafasi ya kuisaidia nchi lakini kaishia kuwa FISADI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…