Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Bado Jiwe ni Sikio la Kufa. Hata hana Cha Kujifunza hapo. Ana Jeuri, dharau, Visasi na Kiujumla Roho Mbaya.
Ajifunze kwa Ben bado Damu za Watu Zinamtafuna Kichwani. Usikute yupo Karibu Kufa hao Jamaa aliowaua roho zao Zinamfanya kazi.
 
Nimejiskia vibaya sana kujua uandishi wa kitabu hicho ni hisani ya mabeberu Finland kufadhili taasis ya Chuo cha uongozi Tz!?. Kweli mzee Ben ama kama nchi hatuliwezi hili!?
Hao Mabeberu watakuwa wamejipendekeza tu, si unajua hatuwapendi ila wakija na kitu mkononi tunavunga.
 
Na baada ya JK kusema serikali ya Magu inakimwambafy na yeye Mkapa amemjibu kwa kumuonyesha kua hela zilizokuingiza madarakani za EPA 2005 ni za ufisadi/wizi.

Naona wanajibizana mapigo.
Nakumbuka alichukia sana yeye na Mangula kiasi Nzee ya Nsoga alipoingia madarakani na kuwa mwenyekiti wa CCM ali attempt kumfukuza Mzee Mangula katika CCM. Ulikuwa Ni wakati mbaya sana kwa ufisadi. 2015 Nzee ya Nsoga alitaka azivae escrow akakwepa ndo maana akina Sethi na Ruge wapo lupango. Nayesa
 
Na Che Nkapa anamsifia Magu kwa kujitahidi kueneza dhana ya kujitegemea kumbe ye mwenyewe kitabu chake ni PROUDLY SPONSORED BY..........
Nimejiskia vibaya sana kujua uandishi wa kitabu hicho ni hisani ya mabeberu Finland kufadhili taasis ya Chuo cha uongozi Tz!?. Kweli mzee Ben ama kama nchi hatuliwezi hili!?
 
English mkuu na bei ni elfu 60 nazani hakikutarajiwa kusomwa na wasakatonge mi ningeshauri kiuzwe hata elfu 20 na watoe version ya kiswahili ili wengi wafaidi
Huyo naye si Mzalendo. Sina shaka, kwa kuuenzi Uzalendo, JPM, hata kisoma hicho kitabu kilicho andikwa kwa lugha ya MABEBERU!
 
Hakikutolewa kwa ajili ya malofa mkuu,si umeona hata walioalikwa pale ni wa aina flani flani.
English mkuu na bei ni elfu 60 nazani hakikutarajiwa kusomwa na wasakatonge mi ningeshauri kiuzwe hata elfu 20 na watoe version ya kiswahili ili wengi wafaidi
 
Kwa ufupi kwa katiba hii rais hata auwe raia wote hafungwi wala hashitakiwi na hata rais afanye ufisadi mkubwa wa kutisha haguswi.

Kiufupi hii katiba ni ya kikoloni ambapo mtawala na sio kiongozi wa kizungu alikuwa anaiyumia kumnyonya mtawaliwa mtu mweusi cha ajabu mtu mweusi kaingia madarakani anaona ndio katiba bora.

Tunamtoa mkoloni kwa sababu aliyumia sheria mbaya tunaingia sisi na tunajisifu kuwa tunasheria nzuri.

Tukiitwa shit hole tusikasirike.

Leo mkapa nafsi imemsuta kasema machache ya wizi na ufisadi wa EPA na mauwaji ya zannzibar je inatosha? Anawajibikaje kwa wizi wa mali ya umma na mauwaji ya raia wake?

Yale wauwaji ya atofauti gani na kimbali?
 
Nimejiskia vibaya sana kujua uandishi wa kitabu hicho ni hisani ya mabeberu Finland kufadhili taasis ya Chuo cha uongozi Tz!?. Kweli mzee Ben ama kama nchi hatuliwezi hili!?
Usishangae Mkuu maana hata baadhi ya matangazo kwenye radio mwisho utasikia ni kwa hisani ya watu wa Marekani
 
Back
Top Bottom