Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Sasa nimeelewa kwanini Rais Magufuli hana huruma na mafisadi, kwa kweli majambazi ndani ya CCM siyo ya kuwachekea.

Najiuliza tu waliwezaje kumtumia gavana Balali na kumtapeli mzee Mkapa kisha kutokomea na mzigo wa EPA.

Pia nimeelewa kwanini mstaafu Kikwete aliyataka yale majambazi ya EPA yarejeshe fedha walizoiba, kumbe walikuwa wanaccm. Kiukweli baada ya kumsikia mzee Mkapa alivyohudhunishwa na utapeli aliofanyiwa na majambazi kwa kisingizio cha kufadhili CCM kwenye kampeni za uchaguzi, Nimesikitika sana.

Leo nimemuelewa vizuri RC Albert Chalamila wa Mbeya aliyependekexa ianzishwe Magufuli Ruling Party kama mbadala wa CCM, kwa kweli ujambazi aina ya EPA hauvumiliki.

Mungu Ibariki CCM " mpya"

Maendeleo hayana vyama!
Majambazi hao mpaka leo wapo CCM na hawajawahi kuguswa mfano ni RA na nyoka mwenye makengeza
 
"Tunahitaji Taasisi Imara na Sio Viongozi Imara"
By retired CAG.

Viongozi wengi wa Kiafrika wanafisadi sana wakiwa madarakani, kwakuwa taasisi zao Ni dhifu kuweza kuwasimamia ipasavyo, wakistaafu wanajifanya kujutia,
haya yote yanafanywa kwa gharama ya maisha ya Wananchi wao.
Hii inafanyika kwakuwa wanasifiwa Sana na wapambe wao kuwa Ni watu Bora kuliko wengine na kuishia kuvimba kichwa na kutesa Wananchi.
Hii misamaha itaombwa Hadi lini ?
Ni lini Mwisho wake ?
Je Kiongozi huyu aliyeko madarakani naye anasubiri kuja kuomba msamaha akistaafu ?
Kwanini asijirekebishe Sasa ?
 
Kumwaga damu ya mtu hakumwachi muuaji salama. Yalimkuta Kaini alipomuua ndugu yake Habili akapata adhabu mbalimbali kali ikiwemo kutangatanga na kukosa makao (Mwanzo 3:10-14). Nafsi ya babu yetu mzee Mkapa inatangatanga kwa kukosa amani kutokana na mauaji yaliyotokea kule Zanzibar. Hakika Neno la Mungu ni Kweli, halisemi uongo. Dhambi ya mauaji na uonevu wa makusudi hazitubiki na kusamehewa kirahisi.
Mzee Mkapa ni mkatoliki na nina uhakika ametubu mara nyingi kwa makosa ya mauaji yale lakini bado nafsi yake haina amani ndiyo maana ameamua kusema hadharani jinsi anavyoteswa nafsini mwake. Ningekuwa mimi wakati ninakiri hadharani ningepiga magoti pale pale kuwaomba msamaha wananchi ili kutubu kwao kwa kushindwa kutumia nafasi ya madaraka aliyokuwa nayo ili kuzuia mauaji yale! Hata hivyo, asamehewe tu mzee wetu ili awe na amani, awe na uzee mwema! Ametubu kiutu uzima.
 
Tuchangishane bukubuku,tukifika 60 tunavuta kimoja tunagawa kwa wote.
[emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji16][emoji297]
[emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji297]
[emoji297][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji297][emoji4][emoji297]
[emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji4][emoji297]
[emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji4][emoji297] wazo zuri, lkn utamhujumu mtunzi
 
Balali kajibu mkuu, nenda twitter kule
Ngoja tusubiri kitabu kingine watatueleza. Waligangamala hapa kuwa haikuwa na uhusiano na kuingia kwa JK ikulu, sasa dhamira ya BWM inamsuta lakini zigo kamuangushia Balali (ambaye hawezi kujibu). Hapa ingekuwa Israel watu wangekuwa na kesi za kujibu tu na China shaba ingetembea.
 
.
Hahahahahahahahaha njo vile mule mule.
IMG-20191113-WA0020.jpeg
 
Back
Top Bottom