Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Bila shaka atatengua kitendawili la kipi kilimkuta mpaka akawa anatembelea magongo wakati Fulani.
 
“Baba yangu alipokuwa akielekeza matarajio yake kuhusu maisha yangu ya baadae alisema “ningependelea uwe mmoja kati ya hawa utakapomaliza masomo, kwanza uwe padre na isipowezekana natumaini uwe dakatari lakini hilo nalo lisipowezekana angalau uwe mwalimu" Mzee Mkapa.!
 
Mauaji ya Zanzibar ya Januari 27, 2001 ni DOA kwenye Uongozi wangu Rais Benjamin Mkapa
 
Leo ni siku yetu ya kuzaliwa kwangu na kwa Rais wa awamu ya tatu.

Mimi nmefikishs 35 yeye ametimiza miaka 81.wote tunatakiwa kupongezwa.

Karbuni mnirakie.
Hongera mkuu, uwe unaamkia wakubwa zako sasa
 
Hicho kitabu kitajaa mikosi mitupu , ni vema jambo kama hilo likazinduliwa na mtu mwenye mvuto , kumpa mtu anayechukiwa akuzindulie kitabu chako ni kujitafutia laana na mikosi tu

Mikosi ndiyo nini na inarithishwaje kutoka mtu mmoja kwenda mwingine? Je, Baraka za mtu mmoja nazo zinaweza kurithishwa kwa mtu mwingine? Kama ndivyo unayo mifano?
 
"Nikiwa Naibu waziri wa Ujenzi, Mzee Mkapa aliniheshimu sana... Nataka niseme ukweli kuwa Makatibu wakuu huwa wanawadharau Manaibu waziri ila mimi Mzee Mkapa alinijengea ujasiri na kujiamini".... Magufuli
 
Nilipoomba hela za ujenzi wa barabara ya Kimara bilioni Moja Mawaziri wengi walinipinga lakini Mzee mkapa akasema endelea tu.. Magufuli.
 
Nilipoomba hela za ujenzi wa barabara ya Kimara bilioni Moja Mawaziri wengi walinipinga lakini Mzee mkapa akasema endelea tu.. Magufuli.


!
!
Hii Sio Kutoa Siri Za Baraza La Mawaziri Kweli? Maana Kuna Kula Kiapo Kwamba Sitatoa Siri Sasaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…