faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,719
Ngoja jiwe amalizie usingizi halafu akutane ni hyo kauli utasikia kuna wastaafu wanawashwa washwa huko nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KiwiraUmeandika kwa uchache sana...!hv ishu y makaa ya mawe serikali ilompoka eh?
Ukute hapo wanatumia kodi zetu kuzindua maisha ya mtu binafsi asiekuwa na faida nchini
Kwani mzee Mkapa amehama chama?!mzee umehama chama
Tatizo wanatuona wa Tanzania kama hatuna akiliHaifagi.amejitetea hapa anasrma alionewa sana...
Hongera mkuu, uwe unaamkia wakubwa zako sasaLeo ni siku yetu ya kuzaliwa kwangu na kwa Rais wa awamu ya tatu.
Mimi nmefikishs 35 yeye ametimiza miaka 81.wote tunatakiwa kupongezwa.
Karbuni mnirakie.
Hicho kitabu kitajaa mikosi mitupu , ni vema jambo kama hilo likazinduliwa na mtu mwenye mvuto , kumpa mtu anayechukiwa akuzindulie kitabu chako ni kujitafutia laana na mikosi tu
Amejiandaa kwa spichi kweli ?Rais anaongea..tusikilize madongo sasa
Nilipoomba hela za ujenzi wa barabara ya Kimara bilioni Moja Mawaziri wengi walinipinga lakini Mzee mkapa akasema endelea tu.. Magufuli.