THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Umri, umri 94yrs sio mchezoMzee Mwinyi kanichekesha sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]....Mzee Kikwete kaokoa jahazi wakati wa picha ya pamoja kukabidhiwa kitabu
hahaha ni katika kuonesha upendo.í ¾í´£ ww ni bangi sanaí ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£í ½í¹í ½í¹í ½í¹
Umeliweka vizuri sana.Ndilo tatizo la waafrika, be it a president or a lumpen! Nadhani vitabu vinatokana na high level academic intellect, hivyo ni vema ukamuita renowned Proffessor from a world class higher learning institution akakizindua. Sasa unamuita mtu ambaye anatuhumiwa kughushi PhD na Ben Saanane, halafu unadhani atakisoma academician nani? Labda wakipeleke chuo cha CCM johnthebaptist
Kwahiyo CCM na Chadema wanafanana!Tabia hazina vyama
Na ndiyo roho nzuri hiyoTabia za Mkapa na Baba yangu na Mimi mwenyewe zinafanana Sana, yaani kuonesha simanzi au huruma kwa mtu siwezi kabisa, sijui kwanini. Mi nachukulia kila kitu poa tu wala huwa sijali. Hata mama za watoto wangu wanasema nina roho ngumu mno. Yaani ndo nimezaliwa hivyo, sijali hadi kwenye matumizi ya fedha.
Amekiri wapi?!.......Punguza mbege bwashee!Kwa ufupi kwa katiba hii rais hata auwe raia wote hafungwi wala hashitakiwi na hata rais afanye ufisadi mkubwa wa kutisha haguswi.
Kiufupi hii katiba ni ya kikoloni ambapo mtawala na sio kiongozi wa kizungu alikuwa anaiyumia kumnyonya mtawaliwa mtu mweusi cha ajabu mtu mweusi kaingia madarakani anaona ndio katiba bora.
Tunamtoa mkoloni kwa sababu aliyumia sheria mbaya tunaingia sisi na tunajisifu kuwa tunasheria nzuri.
Tukiitwa shit hole tusikasirike.
Leo mkapa nafsi imemsuta kasema machache ya wizi na ufisadi wa EPA na mauwaji ya zannzibar je inatosha? Anawajibikaje kwa wizi wa mali ya umma na mauwaji ya raia wake?
Yale wauwaji ya atofauti gani na kimbali?
Acha kudanganyaKwa ufupi kwa katiba hii rais hata auwe raia wote hafungwi wala hashitakiwi na hata rais afanye ufisadi mkubwa wa kutisha haguswi.
Kiufupi hii katiba ni ya kikoloni ambapo mtawala na sio kiongozi wa kizungu alikuwa anaiyumia kumnyonya mtawaliwa mtu mweusi cha ajabu mtu mweusi kaingia madarakani anaona ndio katiba bora.
Tunamtoa mkoloni kwa sababu aliyumia sheria mbaya tunaingia sisi na tunajisifu kuwa tunasheria nzuri.
Tukiitwa shit hole tusikasirike.
Leo mkapa nafsi imemsuta kasema machache ya wizi na ufisadi wa EPA na mauwaji ya zannzibar je inatosha? Anawajibikaje kwa wizi wa mali ya umma na mauwaji ya raia wake?
Yale wauwaji ya atofauti gani na kimbali?
Acha kudanganya
Amesema wakati mauaji yanafanyik yeye hakuwepo in other words amesema kwamba waliohusika ni wasaidizi wake ila sio yeye
Na kuhusu epa amesema watu walimsaliti na kumlaghai akubali hayo ma-mikataba kumbe wana agenda za wizi