Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Boniphace Kichonge,
We do not have in Tanzania a political party called "Revolutionary State Political Party" ! What we have is CHAMA CHA MAPINDUZI, where former President William Mkapa was its Chairman. The name CHAMA CHA MAPINDUZI is NOT equivalent to Revolutionary State Political Party! NO! No please!
 
Ndilo tatizo la waafrika, be it a president or a lumpen! Nadhani vitabu vinatokana na high level academic intellect, hivyo ni vema ukamuita renowned Proffessor from a world class higher learning institution akakizindua. Sasa unamuita mtu ambaye anatuhumiwa kughushi PhD na Ben Saanane, halafu unadhani atakisoma academician nani? Labda wakipeleke chuo cha CCM johnthebaptist
Umeliweka vizuri sana.
Usishangae anaenda kuongea pumba za kumunua ndege
 
Rais mstaafu mzee Mkapa amesema yeye siyo mtu mwepesi wa kutoa pole tofauti na alivyo mstaafu mwenzake mzee Kikwete.

Nimeyapenda maneno haya ya mzee Mkapa yaliyosheheni hulka tulizonazo wanadamu, wengine ni wepesi katika jambo hili na wengine katika jambo lile hatuwezi kufanana.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tabia za Mkapa na Baba yangu na Mimi mwenyewe zinafanana Sana, yaani kuonesha simanzi au huruma kwa mtu siwezi kabisa, sijui kwanini. Mi nachukulia kila kitu poa tu wala huwa sijali. Hata mama za watoto wangu wanasema nina roho ngumu mno. Yaani ndo nimezaliwa hivyo, sijali hadi kwenye matumizi ya fedha.
 
Baada ya nyerere anafuata huyu kiumbe kwa watawala bora walowahi itawala tz
 
Tabia za Mkapa na Baba yangu na Mimi mwenyewe zinafanana Sana, yaani kuonesha simanzi au huruma kwa mtu siwezi kabisa, sijui kwanini. Mi nachukulia kila kitu poa tu wala huwa sijali. Hata mama za watoto wangu wanasema nina roho ngumu mno. Yaani ndo nimezaliwa hivyo, sijali hadi kwenye matumizi ya fedha.
Na ndiyo roho nzuri hiyo
 
Nina shida sanaa na huyu Kijana aliye Desgn Kitabu cha mkapa cha mkuki na nyota tafadhali sanaa
 
Kwa ufupi kwa katiba hii rais hata auwe raia wote hafungwi wala hashitakiwi na hata rais afanye ufisadi mkubwa wa kutisha haguswi.

Kiufupi hii katiba ni ya kikoloni ambapo mtawala na sio kiongozi wa kizungu alikuwa anaiyumia kumnyonya mtawaliwa mtu mweusi cha ajabu mtu mweusi kaingia madarakani anaona ndio katiba bora.

Tunamtoa mkoloni kwa sababu aliyumia sheria mbaya tunaingia sisi na tunajisifu kuwa tunasheria nzuri.

Tukiitwa shit hole tusikasirike.

Leo mkapa nafsi imemsuta kasema machache ya wizi na ufisadi wa EPA na mauwaji ya zannzibar je inatosha? Anawajibikaje kwa wizi wa mali ya umma na mauwaji ya raia wake?

Yale wauwaji ya atofauti gani na kimbali?
 
Amekiri wapi?!.......Punguza mbege bwashee!
 
Acha kudanganya
Amesema wakati mauaji yanafanyik yeye hakuwepo in other words amesema kwamba waliohusika ni wasaidizi wake ila sio yeye
Na kuhusu epa amesema watu walimsaliti na kumlaghai akubali hayo ma-mikataba kumbe wana agenda za wizi
 
Na wewe unaamini kuwa hakuna MKONO wake katika haya! Pathetic

Back
Top Bottom