Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

wanajamvi,
katika pita pita zangu hapa jamvini naona kuna baadhi ya wadau wanatoa vipande vichache vichache kuhusu kitabu cha mzee wangu mstaafu rais wa awamu ya tatu lakin katika yote sijasikia kuhusu haya mambo mawili;

- Vipi humo ndani mzee ameongelea suala la mgodi wa KIWIRA? mana mtu anapoongelea maisha yake kwenye kitabu inatakiwa hata tuhuma azijibu watu tujue

- Vipi suala la kuchukua kipande cha sabuni pale mgodi wa kanda ya ziwa ameongelea humo ndani?

Ni hayo tu ndugu zangu nilihitaji kujua
 
Ingependeza Kama angeomba radhi kwa kwa niaba ya baba yake! Inaonyesha hakuheshimu kazi ya ualimu! Anasema ikishindikana uwe mwalimu! Yaani kwake kazi ya ualimu ni baada ya kukosa zingine zote!!!!
 
Anaonekana mtu asiye na amani kabisa nafsini mwake.
Mkapa ana Amani kwani hukiri Akifanya makosa; mfano mzuri ni pale anapokiri kuwa makosa yalifanyika wakati wa ubinafsishaji mashirika ya umma!!

Asiyekuwa na Amani ni MKWERE a.k.a. Vasco Dagama huyu mpaka aingie kaburini atateseka kwa kutuvurugia kupata katiba yetu tulioipendekeza!!!
 
Mzee aliyeshindwa kufanya mambo ambayo magufuli kafanya kwa miaka 4 tu yeye kakaa10yrs anatwambia nini na hayo makaratasi yake eti ni kitabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…