Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Hbd.. mzee wetu japo uliwaita watz malofa na mapumbavu
 
Kwa kumbukumbu zangu ukiona mzee anazindua kitabu cha maisha take basi yupo mlangoni kutoka. Msije kuniita mchawi baadaye!
 
sera yake ya mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe ipo ukurasa gani
 
!
!
Sidhani Kama Jiwe Kakielewa Hili Kitabu? Pamoja Na Busara Zote Zilizochambuliwa Akipewa Nafasi Ataanza Tena Kuchokonoa Amani Kama Kawaida Yake.
 
JK alikuja akamnyang'anya mgodi wa Kiwira. Lakini huyu Mkapa alikuwa mtu mmoja mtata sana. Hadi leo hajuti kwa mauaji ya wananchi yaliyofanyika Mwembechai na Pemba.
Hawezi kujuta asilani. Ni mwanamchama mtiifu kule. Ubinadamu ulishaondoka.
 
Kwenye hicho kitabu asisahau kudadavua kinagaubaga kuwa kujimilikisha mali za umma kama mgodi wa kiwira na kumilikisha mashirika ya umma kama benki ya NBC kwa wageni ilikuwa ni sehemu ya majukumu yake kama rais
 
Niko Vwawa,Songwe,nitapataje hicho kitabu ambacho kina historia ya kusisimua juu ya maisha ya rais mstaafu Benjamini Mkapa?
 
Kufanya biashara akiwa Ikulu, Kujimilikisha mgodi wa Kiwira, kujiuzia Nyumba, Mauaji ya Zanzibar, Uuzaji wa mashirika ya umma kwa kwa chee, ununuzi wa Rada na Mengineyo.!
Anaonekana mtu asiye na amani kabisa nafsini mwake.
 
Back
Top Bottom