Matokeo ya tume tayari yanajulikana.Mzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo. Nadhani hii sio sawa. Mkutano wake huo ungesubiri kwanza tume ya Chade imalize kazi na kutoa matokeo ili akina Butiku wajadili pamoja na mambo mengine matokeo ya tume. Kuna kitu gani akina Butiku wanahofia juu ya matokeo ya tume hii?
Hakuna mtu aliyewazuia kusubiria matokeo ya hiyo tume yenu, raia wengine wanaendelea na maisha yao na harakati zao kivyao ndio maana unaowana Kihongosi na Mwigulu wanaendelea na harakati zao pia.tusubiri tuyaone ili yawe agenda mojawapo kwenye mkutano wao.
Sisi siyo kama nyie uvccm mnaoshikiwa akili na Mzee Wasira, sisi tunajitegemea kufanya maamuzi nyie uwezo huo hamna ndiyo maana mnatumikishwa na genge la wanamtandao lakini wanaofaidika ni wao na familia zao nyie mnatupiwa makombo tu kama mbwa koko .Mnashikiwa akilini zenu na Mange kimambi
Nashauri kila mtu kila mtanzania awe na katiba na aisome mara kwa mara ili kuielewa. Sisi tanzania tunayo Katiba hata kama Katiba hiyo kuna watu inawakwaza lakini inatubana hadi hapo tutakapo ibadilisha na ikasema vinginevyo. Duniani kote hakuna nchi ambayo wananchi wake woooote wanakubaliana na katiba yao na sheria zao, lakini Katiba na sheria za nchi lazima zizingatiwe. Mfano, pale Marekani kuna watu wa majimbo fulanifulani hawapendi kabisa namna uchaguzi wao unavyoendeshwa na Rais anavyopatikana lakini hawana namna.Hakuna mtu aliyewazuia kusubiria matokeo ya hiyo tume yenu, raia wengine wanaendelea na maisha yao na harakati zao kivyao ndio maana unaowana Kihongosi na Mwigulu wanaendelea na harakati zao pia.
Mwigulu Nchemba asubiri majibu ya tumeMzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo.
Nadhani hii sio sawa. Mkutano wake huo ungesubiri kwanza tume ya Chade imalize kazi na kutoa matokeo ili akina Butiku wajadili pamoja na mambo mengine matokeo ya tume.
Kuna kitu gani akina Butiku wanahofia juu ya matokeo ya tume hii?
Tume ipi asuburi, ingekuwa tume iba uhalali hapo sawa. Ama unadhani huyo Butiku hajui kuwa ni tume ya kumsafisha Samia?Mzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo.
Nadhani hii sio sawa. Mkutano wake huo ungesubiri kwanza tume ya Chade imalize kazi na kutoa matokeo ili akina Butiku wajadili pamoja na mambo mengine matokeo ya tume.
Kuna kitu gani akina Butiku wanahofia juu ya matokeo ya tume hii?
Kwanini Kihongosi hasuburi haya matokeo ya tume ya chama chake?tusubiri tuyaone ili yawe agenda mojawapo kwenye mkutano wao.
Mbona hao wanaolinda katiba hawakumpiga risasi aliyevunja katiba kwa kuzia vyama vingine vya siasa tofauti na chama chake kufanya mikutano ya siasa?Nashauri kila mtu kila mtanzania awe na katiba na aisome mara kwa mara ili kuielewa. Sisi tanzania tunayo Katiba hata kama Katiba hiyo kuna watu inawakwaza lakini inatubana hadi hapo tutakapo ibadilisha na ikasema vinginevyo. Duniani kote hakuna nchi ambayo wananchi wake woooote wanakubaliana na katiba yao na sheria zao, lakini Katiba na sheria za nchi lazima zizingatiwe. Mfano, pale Marekani kuna watu wa majimbo fulanifulani hawapendi kabisa namna uchaguzi wao unavyoendeshwa na Rais anavyopatikana lakini hawana namna.
Hapa kwetu anatokea kilaza anakwambia tuzuie uchaguzi usifanyike, maana yake mvunje Katiba na wewe unamkubalia kichwakichwa tu bila kujua na wewe kumkubalia unaungana nae kuvunja Katiba na sheria zetu. Utapigwa risasi tu na watu walioapa kuilinda Katiba. Tuache uzuzu unaogharimu maisha yetu na watoto wetu. Lissu kwakuwa anajua anavunja Katiba na vifo vinaweza kutokea kama akivunja Katiba alichukua hatua ya kuiondoa familia yake yote hapa nchini. Lema hivyohivyo, Kimambi hivyohivyo, na Heche hivyohivyo; na kuyaacha mavambi yapigwe risasi.
Sidhani kama tume itatoa majibu yeyote wanabuy time ili watu wasahau, ngoja tuone.Mzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo.
Nadhani hii sio sawa. Mkutano wake huo ungesubiri kwanza tume ya Chade imalize kazi na kutoa matokeo ili akina Butiku wajadili pamoja na mambo mengine matokeo ya tume.
Kuna kitu gani akina Butiku wanahofia juu ya matokeo ya tume hii?
Yeyote anayesubiria majibu ya tume iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa mauaji, akitarajia itakuja na taarifa ya kweli, atakuwa hana akili kabisa. Majibu ya tume iliyoundwa na mtuhumiwa, yanaeleweka, kwa sababu ameunda tume bandia imsaidie kumsafisha. Nadhani umesikia pia amepora pesa yetu na kutapanya huko nje kwa lengo hilo hilo. Hiyo ndiyo sababu wote wenye akili timamu hawana muda wa kupoteza kwenda kufanya mazungumzo na hiyo tume najisi.Mzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo.
Nadhani hii sio sawa. Mkutano wake huo ungesubiri kwanza tume ya Chade imalize kazi na kutoa matokeo ili akina Butiku wajadili pamoja na mambo mengine matokeo ya tume.
Kuna kitu gani akina Butiku wanahofia juu ya matokeo ya tume hii?
Wapiga risasi ni akina nani hao na wanaowalenga na kuwaua ni akina nani na mtoa amri kwamba raia wauawe ni nani na kwanini raia wauawe bila ya kupelekwa mahakamani? Watu wanapeleka familia nje ya nchi hata kutoka kwenye nchi sizizo na vikosi vya mauaji vilivyo sponsored na serikali kama ilivyo Tanganyika, so your argument is completely irrelevant. Unataja mpaka ambao walienda kwa hustles za kawaida, that's so stupid. Kwa nchi ambayo abductions, sodomy, torture and killings hata mimi ningekuwa mwanasiasa wa opposition ninayeishi Tanganyika nisingetaka familia yangu iishi huko.Nashauri kila mtu kila mtanzania awe na katiba na aisome mara kwa mara ili kuielewa. Sisi tanzania tunayo Katiba hata kama Katiba hiyo kuna watu inawakwaza lakini inatubana hadi hapo tutakapo ibadilisha na ikasema vinginevyo. Duniani kote hakuna nchi ambayo wananchi wake woooote wanakubaliana na katiba yao na sheria zao, lakini Katiba na sheria za nchi lazima zizingatiwe. Mfano, pale Marekani kuna watu wa majimbo fulanifulani hawapendi kabisa namna uchaguzi wao unavyoendeshwa na Rais anavyopatikana lakini hawana namna.
Hapa kwetu anatokea kilaza anakwambia tuzuie uchaguzi usifanyike, maana yake mvunje Katiba na wewe unamkubalia kichwakichwa tu bila kujua na wewe kumkubalia unaungana nae kuvunja Katiba na sheria zetu. Utapigwa risasi tu na watu walioapa kuilinda Katiba. Tuache uzuzu unaogharimu maisha yetu na watoto wetu. Lissu kwakuwa anajua anavunja Katiba na vifo vinaweza kutokea kama akivunja Katiba alichukua hatua ya kuiondoa familia yake yote hapa nchini. Lema hivyohivyo, Kimambi hivyohivyo, na Heche hivyohivyo; na kuyaacha mavambi yapigwe risasi.
Ccm ina wajinga wengi sana kiasi kwamba ghala na maghala yamejaa wajinga mtupu wenye elimu zao na wasio na elimu wote wakiwa ccm wanakuwa Level moja.Mzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo.
Nadhani hii sio sawa. Mkutano wake huo ungesubiri kwanza tume ya Chade imalize kazi na kutoa matokeo ili akina Butiku wajadili pamoja na mambo mengine matokeo ya tume.
Kuna kitu gani akina Butiku wanahofia juu ya matokeo ya tume hii?
MAjibu walishapewa siku ya kwanza na Samuya uwe unatumia akilitusubiri tuyaone ili yawe agenda mojawapo kwenye mkutano wao.