chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilitarajiwa iwe nzito, reference point kwenye tafakuri za kikanda na nchi.
Mambo ni tofauti, taasisi hii imegeuka ni mti wa huyu Mzee wa Butiama kuota jua wakati huu wa uzee wake.
Haina mvuto, ipoipo tu inavizia matukio ya kisiasa, hesabu zake hazijakaguliwa miaka tele.
Haina uongozi madhubuti wenye maono na vipindi maalum.
Ni muda muafaka sasa kuitupia jicho, kuna dalili za upigaji humo, ndio maana wenye maono wanaikwepa