Tafadhali, tafuta agenda nyingine ya kumshambulia Mzee Butiku, kama unayo. Taasisi ya Mwalimu Nyerere inaheshimika hapa Tanzania kwanza na duniani, pia inaendeshwa na wasomi; ila inachagua nani wa kuidhamini kama Nyerere mwenyewe alivyokuwa anawakwepa Mafioso wa wakati wa uhai wake!Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilitarajiwa iwe nzito, reference point kwenye tafakuri za kikanda na nchi.
Mambo ni tofauti, taasisi hii imegeuka ni mti wa huyu Mzee wa Butiama kuota jua wakati huu wa uzee wake.
Haina mvuto, ipoipo tu inavizia matukio ya kisiasa, hesabu zake hazijakaguliwa miaka tele.
Haina uongozi madhubuti wenye maono na vipindi maalum.
Ni muda muafaka Sasa kuitupia jicho, kuna dalili za upigaji humo, ndio maana wenye maono wanaikwepa
jibuni hoja acheni kushambulia wazee!Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilitarajiwa iwe nzito, reference point kwenye tafakuri za kikanda na nchi.
Mambo ni tofauti, taasisi hii imegeuka ni mti wa huyu Mzee wa Butiama kuota jua wakati huu wa uzee wake.
Haina mvuto, ipoipo tu inavizia matukio ya kisiasa, hesabu zake hazijakaguliwa miaka tele.
Haina uongozi madhubuti wenye maono na vipindi maalum.
Ni muda muafaka sasa kuitupia jicho, kuna dalili za upigaji humo, ndio maana wenye maono wanaikwepa
Yuko kwa siku yakeNaona hali yako ni tete. Pole.
Umepata minyoo wa kichwaniTaasisi ya Mwalimu Nyerere ilitarajiwa iwe nzito, reference point kwenye tafakuri za kikanda na nchi.