Mzee Butiku, kwanini umeifanya Taasisi ya Mwalimu Nyerere mali yako binafsi mpaka wafadhili wameisusa?

Uko sahih sina shida na butiku ila itabidi nae apishe tumuweka mwingine yoyote yule si ajbu hyo taasisi akamridhisha mwanae
 
Takataka chiembe .....
Dodoki la chinembe!

Hauna akili zaidi ni kama unapambana na ukuta!

Kama Wanaomtetea Bashiru wanamuudhi Bwana yako,nenda chumbani mkafarijuane!

Kadri mnavyozidi kujitoa akili ndivyo mbavyoigawa CCM yenu.

Na bado soon Makovu ya Uchaguzi Mikoani yanakuja kukigawa vizuri CCM.
 
Lkn kweli Butiku njooo! huku unilipie Karo bana mie nahangaika weeeee taasisi ya Baba wa taifa langu ipo hai haiwezekani nitakuja hapo Butiama mwitingo niwavuruge????ooo!! hooo!
 
Basi km ni hivi??? wewe ni mnufaika!! ndo wkt wa kukta mirija yenu subiri tu!
 
Hiiiiii mbna balaa
 
Wewe punguani wa kiwango cha rami
 
Lkn kweli Butiku njooo! huku unilipie Karo bana mie nahangaika weeeee taasisi ya Baba wa taifa langu ipo hai haiwezekani nitakuja hapo Butiama mwitingo niwavuruge????ooo!! hooo!
Butiku amegeuza taasisi ya Mwalimu Nyerere kuwa "kikome" Cha kuota moto na kuchoma viazi, hakuna analofanya, haombi scholarship za vijana, hana grants kwa researchers ........wanaongea kizanaki tu Ofisi nzima
 
Basi km ni hivi??? wewe ni mnufaika!! ndo wkt wa kukta mirija yenu subiri tu!
Ni kweli mimi ni mnafaika wa elimu aliyoniwezesha Baba wa Taifa tangu mwaka 1957 wakati anadai uhuru nilipoingia darasa la kwanza hadi 1977 nilipopata shahada ya pili Mlimani. Hapa nipo ngangari kielimu na pia nina rekodi ya kiutendaji at world standards.
 
Basi km ni ivo acha wengine nao wanufaike kupitia hayo! ya marekebisho kumbuka kuna mjukuu wako nae atakuja huko mbele! wkt weye umesha vuta!ataitaka huduma hii usitetee km kipofu! na

wkt ule alikuwa ni Nyerere mwenyewe live akifanya maboresho lkn sasa ni kivuri cha nyerere ndo tunakisemea na nchi ilikuwa haina wasomi! km leo!
 
1957 uliwrzeshwa kielimu, halafu ukaanza darasa la kwanza 1977, maweee, iiiwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…