Mzee Butiku: Mkataba wa Bandari umeshapitishwa, wanaposema tuzungumze, tuzungumze nini?

Mzee Butiku: Mkataba wa Bandari umeshapitishwa, wanaposema tuzungumze, tuzungumze nini?

Mbona CCM hujaipundua mpaka leo kama wewe ni mkali, badala ya kupambana mambo muhimu ya taifa kama katiba rule of law, eti unapambania bandari....
Waulize wenzako vizuri ya kunihusu.
.Aidha, Waingereza Wana msemo wao kwamba "there is more than one way of skinning a cat".
 
Dharau na kiburi, mnakuwa treated kama watoto wadogo …
 
Aiseeh! Kumbe mambo tayari
Ccm inawachora tu wananchi wanavyobweka!

Anyway waTz 2025 sio mbali sasa hivi ni zamu ya waTz kuishangaza ccm hili chozi lilipwe!
Hiki kipengele cha mwisho umechemsha. Kwa mfumo uliopo na wadanganyika walivyo ccm itatawala hadi watakapochoka
 
CCM acheni kiburi, sikilizeni hawa wazee waasisi wa TANU.

Unaposema CCM unamaanisha nini? Sema raisi hapo kila kitu, kwa nini mnazunguka zunguka ? Muhusika mkuu ni raisi mwenyewe na siyo sijui CCM …
 
"Hili jambo la bandari limeshakwenda serikalini na bungeni, raia tukaulizwa maswali kidogo na tukajibu. Baada ya hapo jambo hili la bandari lilirudi bungeni na kupitishwa na Bunge. Kwa mujibu wa utaratibu wa kikatiba, limeshapitishwa na hivyo ni la kutekeleza. Hivyo sasa wanaposema tuzungumze, tuzungumze kitu gani?" Joseph Butiku, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere
Sasa yeye hapo anazungumza nini?

Hivi Bunge likiridhia itifaki Fulani inakuwa mkataba au?
 
nchi ya wapumbafu hata wakiwa wasomi wanakuwa wapumbafu by nature
 
"Hili jambo la bandari limeshakwenda serikalini na bungeni, raia tukaulizwa maswali kidogo na tukajibu…”

Q & A
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Hili jambo la bandari limeshakwenda serikalini na bungeni, raia tukaulizwa maswali kidogo na tukajibu. Baada ya hapo jambo hili la bandari lilirudi bungeni na kupitishwa na Bunge. Kwa mujibu wa utaratibu wa kikatiba, limeshapitishwa na hivyo ni la kutekeleza. Hivyo sasa wanaposema tuzungumze, tuzungumze kitu gani?" Joseph Butiku, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere
Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua yaliyomo ni lazima yafuate sheria. Hii ni kama tu unataka kupinga kwa nia njema ya taifa. Usipofanya hivyo nisawa na kuchukua maneno, na mistari miwili kwenye vitabu vitakatifu ili iendane na haja zako. Waingereza wanaita hali kama hiyo “ulterior motives”

Kuna msukumo mkubwa kwa wanaopinga lengo Lao kuu ni wanapinga Jamhuri ya Muungano ya Tanzania 🇹🇿 kuwa HURU kimapato kwa mara ya kwanza. Usione ajabu, Kaskazini wanakua na mtazamo tofauti wa mambo na sio dhambi. Hata Mangi Mkuu Mangi Marialle alipingana na Mwl kuhusu Tz kupata uhuru 09 Dec 1961, aliona muda haijafika kwanza, hatuna uwezo wa kujiongoza Bado.

Lakini Uhuru uliletwa na TANU, ambayo leo inaitwa CCM, baada ya kuugana na Afro Shirazi (ambacho likua na wapini Znz) 1977, na Kila mtu amefaidika kutokana na hilo.

unaweza kuiangalia South Africa 🇿🇦 Kijuju ukadhania bora tungechelewa kidogo kupata uhuru kama ulivyokua mtazamo wa Mangi Mkuu Mangi Marialle, japo alikua hapatani na mmoja wa mangi wadogo, mangi Shangali.
Laking Uhuru ni sasa, alisisitiza Mwl, na njia aliyofanikisha kutupitisha ndio tunaendelea nayo Leo.

Hili Jambo ni kubwa kiasi kwamba haliwezi kuwa na mkataba (IGA) mmoja wenye kurasa 38 tu, lazima iwepo mengine, pia ya kupenda na na makubaliano kati ya Tanzania 🇹🇿 na Dubai. Kuku, mbuzi, nguruwe, ngombe, ni nyama, kama vile IGA, HGA, na PA(s) yote ni mikataba, lakini nyama zote ziko Sawa? Mikataba yote iko Sawa?
Watu wanajua tofauti Za nyama, ila kutokana na shughuli zao Za Kila siku sio wote wanajua tofauti ya tofauti ya IGA, HGA, na PA(s).
Kutokua kwao usikutumie kwa faida yako kama wewe ni kiongozi wa kweli.

ukiiangalia kipengele cha 21, kipengele pekee pekee kinachoelezea sheria zitakazo ongoza mkataba, kwakua yaliyomo yote lazima yaendane na sheria.

Kimsingi tafsiri ya mkataba ni makubaliano yanayoweza kulazimishwa na sheria.

Sheria gani sasa zinaweza kulazimisha hayo makubaliano?

Jibu liko kipengele cha 21, kwamba IGA itafuata sheria Za uingereza ambazo tunazifuata tayari, zinafanana na Sheria zetu, kwakua tumezirithi kutoka serikali iliyokuwepo kabla ya 09 Dec 1961. Kipengele cha 21 pia kinasema HGA na makubaliano ya mradi yatafuata sheria Za Jamhuri ya muungano ya Tanzania. Na sheria Za Tanzania tunaweza kuzibadilisha tunavyotaka bila na mkataba (IGA) inatambua hilo, na kukiri hilo. Hii inakua muhimu kwenye mapato. Ndio maana mapato hayamo kwenye IGA, yatakuwepo kwenye HGA ili yafuate sheria Za Tanzania, na hapo ndipo Prof Mbarawa, wanalinda maslahi, ya wa Tanzania, kwamba mapato yangekuwepo kwenye IGA, tusingekua na control nayo. Badala ya kufurahia hilo wanaliruka, hakuna anayepinga anaweza kukataa ukweli huu.
 
Back
Top Bottom