Mzee Butiku, Polepole katekwa uko kimya hahaha !! Tumekufuta katika wazee wa taifa hili

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Ndio Furaha yako ?! .

Naona kale ka Asili ka 'Kizanaki' , ukigeugeu na Kujipendekeza ndiko kamekuharibia.

Hautakubalika tena na Watanzania , Wala hautaheshimiwa Tena na Watanzania , TUMEKUFUTA na kukuondoa katika Orodha ya Wazee Makini wa TAIFA hili.

Wewe Sasa ni Mmoja ya Wazee wahuni .

Siunajidanganya kwamba Utaongoza Huo ujinga mnaouita 'Tume ya Maridhiano'?.

Tukishaikomboa Nchi hiii, Hautakaa ufurahie Uzee wako !!!.

Huu moto unaouona, hautazimika mpaka TUIOKOMBOE NCHI YETU MIKONONI MWA WA DHALIMU.
 
Mkuu, hapo kwenye 'ka asili ka Wazanaki' naomba ufunguke niwafahamu Wazanaki' kiundani.

Maana kuna Mzanaki mmoja ni mfanyabiashara mwenzangu hatumwelewi kabisa, ni mtu wa kuuma na kupuliza. Nilikuwa namwanini sana hadi pale watu fulani waliponiambia "kuwa makini sana na huyo jamaa".
 
Kwahy huyo mzee akiongea ndo polepole ataachiwa?
 
Kama kwa wengine alikuwa kimya na kwa huyu pia apige kimya
 
Halafu someni kitabu cha The Dark Side Of Nyerere's Regime cha Ludovick Mwijage. Humo mtamkuta Mzee Joseph Butiku na Bhoke Mnanka wametajwa kama watu waliohusika kumtesa James Magoti. Kumbe huyo Mzee siyo wa kumwamini kabisa.
 
Van pebles maaaamaeeee
Maneno ya Solo...
Kula muwa stimu itashuka....

1759857640656.png
 
Ndio Furaha yako ?! .

Naona kale ka Asili ka 'Kizanaki' , ukigeugeu na Kujipendekeza ndiko kamekuharibia.

Hautakubalika tena na Watanzania , Wala hautaheshimiwa Tena na Watanzania , TUMEKUFUTA na kukuondoa katika Orodha ya Wazee Makini wa TAIFA hili.

Wewe Sasa ni Mmoja ya Wazee wahuni .

Siunajidanganya kwamba Utaongoza Huo ujinga mnaouita 'Tume ya Maridhiano'?.

Tukishaikomboa Nchi hiii, Hautakaa ufurahie Uzee wako !!!.

Huu moto unaouona, hautazimika mpaka TUIOKOMBOE NCHI YETU MIKONONI MWA WA DHALIMU.
Kosa la Mzanaki mmoja tusihusishwe nalo na Wazanaki wengine. Kwa taarifa yako na usilolijua ni kwamba hata Wazanaki wenyewe hawampendi Mzee Butiku kutokana na tabia zake za Unafiki, Wivu, Ubinafsi na Roho Mbaya aliyonayo.
 
Mkuu, hapo kwenye 'ka asili ka Wazanaki' naomba ufunguke niwafahamu Wazanaki' kiundani.

Maana kuna Mzanaki mmoja ni mfanyabiashara mwenzangu hatumwelewi kabisa, ni mtu wa kuuma na kupuliza. Nilikuwa namwanini sana hadi pale watu fulani waliponiambia "kuwa makini sana na huyo jamaa".
Ni wanafiki sana, hutakiwi kufanya urafiki na mzaniki au umpe Siri zako, Wana ubinafsi na umimi sana , ni rahisi kukuharibia Kwa uçhawi au kukusemea , hawapendi kuona mafanikio ya watu , ni wambeya waongo ni watu wanaojichekesha chekesha na Kujipendekeza !!.

Wenyewe kukuchomesha Takukuru au Polisi au Kwa Kiongozi yoyote ni suala la sekunde
 
Kosa la Mzanaki mmoja tusihusishwe nalo na Wazanaki wengine. Kwa taarifa yako na usilolijua ni kwamba hata Wazanaki wenyewe hawampendi Mzee Butiku kutokana na tabia zake za Unafiki, Wivu, Ubinafsi na Roho Mbaya aliyonayo.
Tamelhokana na amaghero ghanoo
 
Hii nchi ili ipate mabadiriko ni either hii mizee yote ya miaka 50+ imalizike yote then na hawa wazee wa makamo 40+ waishie mbali, then kije kizazi kipya kuongoza ndipo mambo yatakuwa sawa.

Huwezi kupambana na watu wenye akili na itikadi za miaka 40 iliyopita, mizee mingi huwa haijali maslahi ya vizazi vijavyo haijali hata umri wao ushakwisha basi ifanye mambo mema, ni ubinafsi na tamaa ndizo zimewajaa.

Kuna wazee wanafanya mambo ya hovyo mpaka unashangaa hawa wanayafanya wakijua wataurudia ujana au ni ubinafsi wa kuwaumiza vijana
 
Back
Top Bottom