Mzee Butiku, Polepole katekwa uko kimya hahaha !! Tumekufuta katika wazee wa taifa hili

Mzee Butiku, Polepole katekwa uko kimya hahaha !! Tumekufuta katika wazee wa taifa hili

Ni wanafiki sana, hutakiwi kufanya urafiki na mzaniki au umpe Siri zako, Wana ubinafsi na umimi sana , ni rahisi kukuharibia Kwa uçhawi au kukusemea , hawapendi kuona mafanikio ya watu , ni wambeya waongo ni watu wanaojichekesha chekesha na Kujipendekeza !!.

Wenyewe kukuchomesha Takukuru au Polisi au Kwa Kiongozi yoyote ni suala la sekunde
Naona hasira za ama Wewe au Mkeo au Mmoja wa Ndugu zako Kufukuzwa kazi na Boss wa Kizanaki kwa tabia yako / yake / zenu za Uwizi umeamua kuzimalizia kwa Kabila la Wazanaki.

Mimi ni Mzanaki halisi mbona sina hata moja ya hizi tabia Orodheshi zako hapa? Tatizo lenu Watu wenye Stress na Frustrations za Kimaisha sasa huwa mnakuwa na Hasira sana juu Jambo lolote lile hata kama halina ukweli au huna uhakika nalo Kiuchunguzi.

Na ningekuona una Akili (japo nimeshagundua Wewe ni Mpumbavu) kama nawe pia baada ya Kutunanga hapa Wazanaki basi nawe pia ungetuwekea hapa Kabila ili na Sisi tulichambue kwa Undani kwani wengine kutokana na Asili za Kazi zetu tumeshatembea maeneo mengi ya Tanzania na hata kufanya Kazi na Watu wa Makabila mbalimbali Tanzania hivyo tuna Uzoefu na hayo Makabila.
 
Kwa miaka mingi tumekuwa watu wa kutegemea watu fulani ndio watusemee na kupambana kwa niaba yetu ambapo wengi walikuwa wa mchongo au ilikuwa rahisi kununuliwa, kinachoendelea sasa hivi Tanzania inajengwa hali ya wananchi kuona wanatakiwa kujipambania wenyewe.
 
Back
Top Bottom