Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Van pebles maaaamaeeee....
Mkuu, hapo kwenye 'ka asili ka Wazanaki' naomba ufunguke niwafahamu Wazanaki' kiundani.Ndio Furaha yako ?! .
Naona kale ka Asili ka 'Kizanaki' , ukigeugeu na Kujipendekeza ndiko kamekuharibia.
Hautakubalika tena na Watanzania , Wala hautaheshimiwa Tena na Watanzania , TUMEKUFUTA na kukuondoa katika Orodha ya Wazee Makini wa TAIFA hili.
Wewe Sasa ni Mmoja ya Wazee wahuni .
Siunajidanganya kwamba Utaongoza Huo ujinga mnaouita 'Tume ya Maridhiano'?.
Tukishaikomboa Nchi hiii, Hautakaa ufurahie Uzee wako !!!.
Huu moto unaouona, hautazimika mpaka TUIOKOMBOE NCHI YETU MIKONONI MWA WA DHALIMU.
Maneno ya Solo...Van pebles maaaamaeeee
Kosa la Mzanaki mmoja tusihusishwe nalo na Wazanaki wengine. Kwa taarifa yako na usilolijua ni kwamba hata Wazanaki wenyewe hawampendi Mzee Butiku kutokana na tabia zake za Unafiki, Wivu, Ubinafsi na Roho Mbaya aliyonayo.Ndio Furaha yako ?! .
Naona kale ka Asili ka 'Kizanaki' , ukigeugeu na Kujipendekeza ndiko kamekuharibia.
Hautakubalika tena na Watanzania , Wala hautaheshimiwa Tena na Watanzania , TUMEKUFUTA na kukuondoa katika Orodha ya Wazee Makini wa TAIFA hili.
Wewe Sasa ni Mmoja ya Wazee wahuni .
Siunajidanganya kwamba Utaongoza Huo ujinga mnaouita 'Tume ya Maridhiano'?.
Tukishaikomboa Nchi hiii, Hautakaa ufurahie Uzee wako !!!.
Huu moto unaouona, hautazimika mpaka TUIOKOMBOE NCHI YETU MIKONONI MWA WA DHALIMU.
Kama aliona ilikuwa lazima atoe kauli juu ya suala la Captain Tesha, watu walimtarajia atoe pia kauli juu ya kutekwa kwa Polepole, mwendelezo wa tabia mbaya ya watawala ya kuteka na kudhuru critics wa Serikali.Kwahy huyo mzee akiongea ndo polepole ataachiwa?
Atailipa tu, hamna namna yoyote ya yeye kuikwepa hiiHuyu mzee ndo msaliti Lakin gharama lazima atalipia
Leo kamekaa kimya, Polepole Roho yake ukiondoka taratíbu.Kazee kehu sana hako, mara vijana waoga, vijana waki funguka kana waita wasaliti.
Ni wanafiki sana, hutakiwi kufanya urafiki na mzaniki au umpe Siri zako, Wana ubinafsi na umimi sana , ni rahisi kukuharibia Kwa uçhawi au kukusemea , hawapendi kuona mafanikio ya watu , ni wambeya waongo ni watu wanaojichekesha chekesha na Kujipendekeza !!.Mkuu, hapo kwenye 'ka asili ka Wazanaki' naomba ufunguke niwafahamu Wazanaki' kiundani.
Maana kuna Mzanaki mmoja ni mfanyabiashara mwenzangu hatumwelewi kabisa, ni mtu wa kuuma na kupuliza. Nilikuwa namwanini sana hadi pale watu fulani waliponiambia "kuwa makini sana na huyo jamaa".
Tamelhokana na amaghero ghanooKosa la Mzanaki mmoja tusihusishwe nalo na Wazanaki wengine. Kwa taarifa yako na usilolijua ni kwamba hata Wazanaki wenyewe hawampendi Mzee Butiku kutokana na tabia zake za Unafiki, Wivu, Ubinafsi na Roho Mbaya aliyonayo.
Hawezi kuachiwa Kwa Kauli yake, na lengo la Uzi Huu sikumfanya aongeee ili aachaweKwahy huyo mzee akiongea ndo polepole ataachiwa?